I'm a looser!!

You're actually the winner; not a looser. Tafadhali ongea na Mods wabadilishe title ya thread iwe " I am the winner". Be positive. Always.
 
Maswali ni mengi kwenye hii hadithi yako.
Unamiliki nyumba na shahada unayo bado unajiita loser?

USHAURI: Anza kufundisha Twisheni hapo kwako.
 
Yani we sio loser, degree unayo, nyumba unayo, afya unayo..sasa kuna graduates wengi tu hawajafika levo yako na wanajiona mambo swaafi.

We komaa tu kuoa sio ishu, sio formula ya maisha
 
Naona waungwana wamesema mengi mzee. Ila unatakiwa kujua hakuna kitu kinachokuja kirahisi rahisi tu lazima u-sacrifice.

Ku-sacrifice sio kwenda kwa waganga wala kuiba ila nikuhaso mzee.
 
Kweli inaweza kuwa sehemu ya asset ..

Wazo langu .. kama nyumba ipo vizuri na anaweza kupangisha kwa kodi nzuri 'say 300,000/= kwa mwezi' akipata ya miezi 6 anakuwa na 1,800,000/= hiyo anaenda panga chumba cha bei rahisi na kufungua biashara ndogo uswahilini. Vitu vya ndani nina hakika anavyo hivyo itakuwa gharama ya kodi tu kwa chumba kimoja cha kuanzia..

Anaanza biashara ndogo huku akiendelea tafuta ajira na vilevile baada ya miezi 6 mingine anapata 1,800,000/= ambayo atatumia kuendeleza biashara yake.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiiuza hiyo nyumba ndio utakuwa loser, right now at 36yrs bado sana, pambana na usijione kuwa umechelewa.

Kazi sio lazima ya ajira rasmi, Tanzania hii ni asilimia ndogo sana wanaoishi kwa kutegemea ajira rasmi.

Kwenye swala la kuchelewa kuoa, usipanic wala hujachelewa kihivyo, ukiwa desperate ndio utazidi kiharibu.
 
Asante mkuu,naamini hapa huyu mdau atapata wazo zuri namna ya kujikwamua na hiyo hali anayoiona kuwa ni 'looser'

Asante kwa kumpa mawazo mazuri.
 
Kwa taarifa yako binadamu ana potential ya ajabu sana,hata kama una miaka 100 ukihamua kusema kwa sauti moja kuwa wewe siyo looser believe me still una uwezo wa kufanya wonders hadi watu wakashangaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu maisha ni nyumba, mke, kazi
Sikushaur kuuza nyumba wengine tunazitafuta kwa udi sana
 
1.tuambie nyumba yako ina vyumba ngapi?

2. Wewe sasa hivi unaishi kwenye nyumba?

Kama haujaanza kuishi kwenye nyumba let say una chumba pembeni yote ipangishe mwaka mmoja pesa utakayoitoa weka kiduka afu uoe

3. Kama tiyari unaishi kwenye hiyo nyumba ishi kwenye chumba kimoja tuu vilivyobaki vyote pangisha mwaka mmoja pesa hiyo anzisha kibiashara chochote then oa.

Pole kila la kheri navuta hisia uso wako ulivyo wa huzuni

N.b oa mwanamke atakaebkuwa kama mama yako, atakae kufanya kusahau machungu ya maisha uloishi

Plz huo umri jishughurishe mkeo asije kukukuta na hali duni tena ikawa shida plz tafuta atleast usikose kuhudumia mkeo mtarajiwa.
 
Soma history ya Mwanzilishi wa KFC hutajuta,Maisha ni jinsi wewe unavoachukila,..wahenga wanasema 20% is how things are 80% is how you take them,..haya Maisha kweny changamoto unazopitia kila MTU anapitia ila in different way,yaan kila MTU ananjia yake kwa iyo usikate tamaa,..
 
Nenda kwa mganga kwanza ukatolewe nuksi na kuzindikwa. Defense muhimu sana...
 
ina vyumba vinne na sebule...ila hali yake sio nzr sana hivyo inahitaji ukalabati....siishi ktk nyumba hyo bali kuna mpangaji anaihi humo japo kwa bei ndogo sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…