Niko mbele ya luninga naangalia mashindano ya Miss Universe. Nimeona kuwa Tanzania imewakikilishwa na binti mmoja anaitwa Iluminata lakini hakifika popote. Kwa nini? Anaonekana kuwa na sura nzuri, lakini sidhani kama ni mrefu wa kutosha. Nadhani kuwa Tanzania huwa tunasahau sana element hii ya urefu katika mashindano haya.
watanzania tunamatatizo ya kujichanganya kwa haraka, lakini kuna nchi wanankuwa wako fast within short minutes anakuwa friend wa kila mtu, mfao ni kama Wakenya lakini tatizo lao hakuna wazuri
watanzania tunamatatizo ya kujichanganya kwa haraka, lakini kuna nchi wanankuwa wako fast within short minutes anakuwa friend wa kila mtu, mfao ni kama Wakenya lakini tatizo lao hakuna wazuri
For sure comptetition was very high, vimodo vilikuwapo sana. Halafu pia hata ile picha alipiga na minguo imetundikwa kwenye kiti halafu aka post kwa ajili ya kupigiwa kura!!! primordial!!
Haya mashindano yanaenda na politics pia, Tanzania naamini iliingia kwenye top ten hivi karibuni, kwa hiyo lazima wa rotate hizi nafasi, hawawezi uwapa Tanzania kila mwaka unless kuna kitu kiko so obviously and astoundingly impressive.