Mwanzo nilikuwa binti mwenye nuru sana, pamoja na kufiwa na wazazi wote wawili wakati nikiwa na miaka 8 lakini sikuwahi kuwa na maisha ya ukiwa hata kidgo, ndugu zangu upande wa mama walilichukua jukumu la kunilea kwa zamu tena kwa mapenzi makubwa sana. Nikafanikiwa kupata elimu ya msingi na sekondari na wakati naingia chuo mwaka wa kwanza kwa sababu za kiafya nikamua kucheki afya yangu ndipo nilipogungua nipo + hapo kila kitu nikawa cheusi
Kwangu sikuiona tena future, na sikuwa na ujasiri wa kusema nyumbani coz tulishazika ndugu kama 4 hivi tayari na majonzi yalikuwa bado hajawaisha ndugu zangu. Baada ya kujua hali yangu kila kitu kilibadilika sikuwa na hamu tena na dunia nilikuwa na mawazo ya kufa kila wakati.
Elimu sikuiona tena ya maana., nilivurugwa kabisa nikaona niachane kabisa na chuo coz kwa muda huo sikuona kabisa umuhimu wake. Nikapata sonona moja kali nikawa najifungia tu ndani na kuangukia kabisa kwenye dunia ya waliokata tamaa.
Wakati nikijaribu kutoka na kushindwa siku moja nikapata simu nyumbani kuna ndugu yangu alikuwa kalazwa, sikutaka kwenda kabisa lkn kuna kitu kikaniambia niende tu nikamwone. Baada ya kufika pale na kumwona macho yalinifunguka na kuamua kutoka usingizini hali ya ndugu yangu iliweka simanzi kubwa kwenye nyuso za ndugu zangu, Mungu amlaze salama, hapo nikaamua kutoka gizani.
Baada ya kukaa ukiwa kwa miaka 4 nikaamua kwenda kituo cha afya na kuanzia dawa pamoja na ushauri sasa ni mwaka wa 6 tangu nitoke ndotoni maisha si sawa tena.
Sina future ya maana na ninatamani japo ningemaliza elimu yangu maisha yamekuwa magumu zaidi ya yenye ukiwa zaidi japo kidogo sina tena mawazo ya kijinga na afya yangu imeimarika sana. Mambo yamebadilika sasa, + si tishio tena watu wana + na maisha yanaenda kama kawaida
Mimi natamani miaka ile ingekuwa ni sasa nadhani ningekuwa na bright future.
Asanteni sana

Asante sanaaSasa umesimama tena na Mungu atakuinua zaidi.
Hongera sana sasa umeshinda
Kwa kipindi kile bado nilikuwa binti mdgo ndo natoka sekondari ckujua ila all in all tayari ninao hilo lilikuwa kwenye akili yangu zaidiKwaUliipataje HIV?
Hongera kwa andiko lako,limebeba ujumbe unaoweza wagusa wengi katika maisha yetu,ila mimi naona kama umeunyima nyama ambazo zingegusa mioyo ya wasomaji kwani maandiko yanayokuwa waandishi wameyapitia kwa namna fulani hugusa sana.Mwanzo nilikuwa binti mwenye nuru sana, pamoja na kufiwa na wazazi wote wawili wakati nikiwa na miaka 8 lakini sikuwahi kuwa na maisha ya ukiwa hata kidgo, ndugu zangu upande wa mama walilichukua jukumu la kunilea kwa zamu tena kwa mapenzi makubwa sana. Nikafanikiwa kupata elimu ya msingi na sekondari na wakati naingia chuo mwaka wa kwanza kwa sababu za kiafya nikamua kucheki afya yangu ndipo nilipogungua nipo + hapo kila kitu nikawa cheusi
Kwangu sikuiona tena future, na sikuwa na ujasiri wa kusema nyumbani coz tulishazika ndugu kama 4 hivi tayari na majonzi yalikuwa bado hajawaisha ndugu zangu. Baada ya kujua hali yangu kila kitu kilibadilika sikuwa na hamu tena na dunia nilikuwa na mawazo ya kufa kila wakati.
Elimu sikuiona tena ya maana., nilivurugwa kabisa nikaona niachane kabisa na chuo coz kwa muda huo sikuona kabisa umuhimu wake. Nikapata sonona moja kali nikawa najifungia tu ndani na kuangukia kabisa kwenye dunia ya waliokata tamaa.
Wakati nikijaribu kutoka na kushindwa siku moja nikapata simu nyumbani kuna ndugu yangu alikuwa kalazwa, sikutaka kwenda kabisa lkn kuna kitu kikaniambia niende tu nikamwone. Baada ya kufika pale na kumwona macho yalinifunguka na kuamua kutoka usingizini hali ya ndugu yangu iliweka simanzi kubwa kwenye nyuso za ndugu zangu, Mungu amlaze salama, hapo nikaamua kutoka gizani.
Baada ya kukaa ukiwa kwa miaka 4 nikaamua kwenda kituo cha afya na kuanzia dawa pamoja na ushauri sasa ni mwaka wa 6 tangu nitoke ndotoni maisha si sawa tena.
Sina future ya maana na ninatamani japo ningemaliza elimu yangu maisha yamekuwa magumu zaidi ya yenye ukiwa zaidi japo kidogo sina tena mawazo ya kijinga na afya yangu imeimarika sana. Mambo yamebadilika sasa, + si tishio tena watu wana + na maisha yanaenda kama kawaida
Mimi natamani miaka ile ingekuwa ni sasa nadhani ningekuwa na bright future.
Asanteni sana
Aisee ndugu kama ni tangazo basi tulitie mubashara wengi labda wanaweza ishi maisha marefu na mshukuru Mungu kama hukuguswa kwa namna yyote ni hili tatizo,wengi tulilia sana miaka hiyo,Leo tunapata hata ujasiri wa kuwapambania baada ya kuona makosa yalikuwa wapi.tangazo la ARV limekaa vizuri sana
Kuna muda huwa nasoma baadhi ya maandiko huwa nafarijika sana,watu pamoja na zile nyuzi pendwa humu Ila bado mioyo inakuwa na Kiu kwamba kunamahali bado,nadhani maandiko kama haya husaidia kuionya,kuifariji na kuihamasisha kwamba ukiamua inawezekana.Zagiara naelewa ni nini unazungumza.
Please ikiwa uko tayari naomba uwe ndugu yangu kutoka leo .Utauliza ni kwanini ?
Dear Zagiara mimi na wewe utofauti ni mimi kuwa negative ila nina historia inayoshahabiana na yako .Kivipi?
Tulizaliwa wawili mimi na dada yangu , my mother passed away in 1997, my father passed away in 2004 and my sister passed in 2006 , all of them it was due to HIV/AIDs but ni mimi tu niliyebaki nikiwa bila ugonjwa huo na sasa ni mzima.So
Kwa hilo tu wewe ni ndugu yangu please kubali nikuite dada ikiwa ni wa kike , au nikuite kaka ikiwa ni wa kiume .
Natanguliza shukrani ready to help for what you are in need to.
TEKERI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika kaka inapobidi tunafarijiana nduguKuna muda huwa nasoma baadhi ya maandiko huwa nafarijika sana,watu pamoja na zile nyuzi pendwa humu Ila bado mioyo inakuwa na Kiu kwamba kunamahali bado,nadhani maandiko kama haya husaidia kuionya,kuifariji na kuihamasisha kwamba ukiamua inawezekana.
Hongera zenu wanafasihi mnaitendea haki,maandiko yanagusa majeraha yetu ya ndani.
Napenda kuwa na rafiki wa namna yako,Kama utanikubalia naomba niwee rafiki yako[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Mwanzo nilikuwa binti mwenye nuru sana, pamoja na kufiwa na wazazi wote wawili wakati nikiwa na miaka 8 lakini sikuwahi kuwa na maisha ya ukiwa hata kidgo, ndugu zangu upande wa mama walilichukua jukumu la kunilea kwa zamu tena kwa mapenzi makubwa sana. Nikafanikiwa kupata elimu ya msingi na sekondari na wakati naingia chuo mwaka wa kwanza kwa sababu za kiafya nikamua kucheki afya yangu ndipo nilipogungua nipo + hapo kila kitu nikawa cheusi