Ilivyo ngumu kumlinda mateka!

Mambo siyo mabaya Mzungu mmoja kutoka Temeke tayari amekamatwa(white man Manara)
 
Subuhana Allah.
Twamuomba muumba mbingu na nchi asijaalie watekaji wa jinsi hii ktk Taifa letu
 
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]usishangae mkuu kwa Sasa nchi hii hakuna aliyesalama tena, kwenye vitu vyetu vile wakati unavibugia ukae kwa timing kweli kweli....
 
Hiyo namba 6"kuhimili mateso" imenikumbusha RAMBO 1,Colonel TRAUMAN alipokuwa akimuelezea RAMBO JOHN J.kwa Sherif kuwa "You are dealing with someone who has been trained to IGNORE PAIN,someone who can eat anything that can make a human being PUKE"
 
Katika watu nnaowaamin hapa jf ni ww mshana Jr.

Hebu next time uje na Uzi ituambie hawa watu(watekwaji) wanapo hitajika kutlipiwa kikomboleo ni nn kinatokea

Yan kikomboleo kama ni fedha zinalipwaje lipwaje ili kuwafkia watekaji
Na ni jinsi gan tunaweza kuepuka kutekwa na kuensure usalam wet na watekaji endapo cku tukitekwa
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]niruhusu nijibu hapa hapa
Zipo njia nyingi za kupata kikomboleo salama....lakini vilevile watekaji huwa na mtandao mkubwa ukiwajumuisha watu muhimu ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama ambao sio waaminifu
.Kikomboleo daima hulipwa kwa fedha tasilimu...kutumia miamala kama bank nk kunahitaji maandalizi makubwa na ya gharama.
.Kikomboleo huelekezwa kikawekwe mahali ambako visibility iko vizuri kuepuka kufuatiliwa ama kuwekewa mtego
.Mara nyingi mpeleka kikomboleo hufuatiliwa kwa karibu na watekaji bila kujijua
. Mtekwaji huwa haachiwi mpaka kikomboleo kipokelewe salama
.Mara nyingi kikomboleo hulipwa eneo tofauti kabisa na alipo mtekwaji. Mfano mtu yuko Dar kikomboleo kinalipwa Mwanza ama nje ya nchi kutegemea na ukubwa wa mtandao
.Mara nyingi watekaji hutumia simu za satellite ama zisizosoma location...simu maarufu ni thuraya
.Mara nyingi watekaji hutega vifaa vya mawasiliano sehemu zote muhimu kama nyumbani au ofisini kwa mtekwaji, baadhi ya vyombo vya usalama, makazi na vyombo vya usafiri vya ndugu na wafanyakazi muhimu...vifaa hivyo ni kama camera za siri, video na voice notes devices...
.Walipa kikomboleo wakizingua tu...wanakuwa wameshaonywa Kabla ,pesa inaweza kuchukuliwa na wakamkosa ndugu yao....
. kwa baadhi ya watekaji katili kadiri kimomboleo kinavyozidi kuchelewa kutolewa ndivyo subira huwaisha watekaji na kuanza kumtesa mateka na kutumiwa video zake..
. Watekaji hujificha kwenye mwamvuli wa biashara halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…