Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,845
- Thread starter
- #101
Walikuwa wanasikilizia kwanza... Kama nia ilikuwa kudai kikomboleo basi hilo lingefanyika ndani ya saa 72 tangu tukio.... Sasa familia ikiona kimya inaamua kuchokoza madannachoshangaa siku nne kupita ndo wanatangaza dau nene hivo ni kwamba watekaji wasalitiane au?
maana kwa utekaji si sawa na kupotea!