niliwahi shuhudia suala moja jamaa mwenye fedha na jina kubwa mtaani anamlamba mke wa jirani sikuwahi sema popote hadi yule bwana na mke wake wakahamishwa kikazi (baada ya miaka kama 3 ama 4 )Silence is the most powerful tool to avoid problems
You did wellniliwahi shuhudia suala moja jamaa mwenye fedha na jina kubwa mtaani anamlamba mke wa jirani sikuwahi sema popote hadi yule bwana na mke wake wakahamishwa kikazi (baada ya miaka kama 3 ama 4 )
ikatokea tukio la 2 nikaliona pia wahusika wakanitaka niwe shahidi yule bwana tajiri akawaambia kwa huyo bwana hawezi sema kitu tafuteni shahidi mwingine
Bora uyatoe nje na kuyaleta ndani na si kuyatoa ndani na kuyapeleka nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongezea na Zesh
Hornet unajulikana kitambo tu[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo ukiambiwa tu unapanda hewani na ukisutwa unakana?
Washakujua, na wanavyokuficha Basi unakereka π€£Yaani na watu wananificha kweli mambo yao[emoji23][emoji23][emoji23]
We unaweza kusababisha ugomvi alafu ukashindwa hata kuamuliaπMimi? Usijaribu aisee
Tena huwa namface tu mhusika
Shogaa nasikia moja mbili tatu
Nimemaliza
Sawa ndio nasisitiza Kama ulivyokuwa ukimsisitiza mamaπ kuwa bora uyalete ndani na si kuyatoa ya ndani thawa?Mi nimeyaleta ndani sijapeleka nje
Niliwahi msema mtu .yule tuliekua tunapiga nae umbea akayapeleka kwa Bwana ake(ex) na Bwana ake akayarudisha kwa mchumba ake tuliyekua tunamsema..ππππ mlengwa akanifuata kuniuliza sikushtuka walaa kujuta.Ilikuwaje Rumaiya π
Wanaume nao wambea πππNiliwahi msema mtu .yule tuliekua tunapiga nae umbea akayapeleka kwa Bwana ake(ex) na Bwana ake akayarudisha kwa mchumba ake tuliyekua tunamsema..ππππ mlengwa akanifuata kuniuliza sikushtuka walaa kujuta.
Ila nilikoma kumuamini mbea mwenzangu
Pole jikaushe tu kama sio wewe vile[emoji23][emoji23][emoji23] uwii mim haujawa mkubwa ila ndugu yangu kamind kuambiwa na mama
Kwani na wewe wakati unasimuliwa HUKUAMBIWA USISEME KWA MTU?Unaambiwa kitu kama unapewa umbea wa fulan halaf nawe ukamuambia fulan huyo ulomsimulia akaenda kumuelezea mhusika alokuwa akisemwa kwa stori huyo ,mhusika akaface alosimulia huo ubuyu ,nyie kukaa na ubuyu bila kuusema ni kazi nyie msiwe mnatuambia muwe mnabakia nayo moyoni
Nilisimuliwa kitu kuhusu ndugu yangu ,mi nikamuambia mama yetu,mama nae nikamuambia usiseme unyamaze yaan kaenda kusema kama yalivyo nilivyomsimulia nyiee [emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]
Huwaga mnafanyaje ikitokea hivi yaan mtu ukimuambia usiseme ndio anaenda kusema [emoji24][emoji24][emoji24] nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza kweli
Umbea huuu[emoji57][emoji57][emoji57]
ππππMnooooo..ingawa si woteWanaume nao wambea πππ