Wanajua wenyew wanavyoanza 🤣🤣🤣Unaanzaje ?😅
Here it's,,,,a typical women[emoji23]Kukaa na umbea ni kipaji jaman khaa mi siwez cha kujifia ni nn waii mwishowe nije kupasuka kifua[emoji28]
Unaambiwa kitu kama unapewa umbea wa fulan halaf nawe ukamuambia fulan huyo ulomsimulia akaenda kumuelezea mhusika alokuwa akisemwa kwa stori huyo ,mhusika akaface alosimulia huo ubuyu ,nyie kukaa na ubuyu bila kuusema ni kazi nyie msiwe mnatuambia muwe mnabakia nayo moyoni
Nilisimuliwa kitu kuhusu ndugu yangu ,mi nikamuambia mama yetu,mama nae nikamuambia usiseme unyamaze yaan kaenda kusema kama yalivyo nilivyomsimulia nyiee [emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]
Huwaga mnafanyaje ikitokea hivi yaan mtu ukimuambia usiseme ndio anaenda kusema [emoji24][emoji24][emoji24] nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza kweli
Umbea huuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Nenda insta kwa wambea wenzioUnaambiwa kitu kama unapewa umbea wa fulan halaf nawe ukamuambia fulan huyo ulomsimulia akaenda kumuelezea mhusika alokuwa akisemwa kwa stori huyo ,mhusika akaface alosimulia huo ubuyu ,nyie kukaa na ubuyu bila kuusema ni kazi nyie msiwe mnatuambia muwe mnabakia nayo moyoni
Nilisimuliwa kitu kuhusu ndugu yangu ,mi nikamuambia mama yetu,mama nae nikamuambia usiseme unyamaze yaan kaenda kusema kama yalivyo nilivyomsimulia nyiee [emoji2301][emoji2301][emoji2301][emoji2301]
Huwaga mnafanyaje ikitokea hivi yaan mtu ukimuambia usiseme ndio anaenda kusema [emoji24][emoji24][emoji24] nilijua mama atakaa kimya na nilimsisitiza kweli
Umbea huuu[emoji57][emoji57][emoji57]
Umbea kukaa nao ni kazi..ila ukiamua unaweza...
Mimi naweza kusikia/kuambiwa jambo la mtu na nikawa kimya hata nikisikia watu wanaliongea hilo jambo sichangii najifanya kama sijui...
Kadhalika hata jambo linalonihusu.. naweza kuambiwa fulani na fulani walisema au wanakusema....Na wala nisimuulize/kuwauliza...Na ninaweza kuendelea kumchangamkia najifanya sijui kitu...Naona kama kumuliza ni kutaka kumuongezea mengine ya kuongea.