Ilishakutokea hii?

Mimi kuna binti nilimtongozaga akanikataa kwa dharau...imagine akaniambia eti your dental formula haijanivutia..kisa Nina tumeno twa kiarusha...maisha yamekwendaa Mara tumekutana tena...keshazalishwa na jamaa aliyemzalisha hana mpango nae...maisha yamemuia magumu sana...lakini mimi nimeonyesha tu binadamu..mwezi uliopita nimetoa nusu ya kamshahara kangu kumpa alipie kodi ya nyumba coz alikuja kunililia matatizo nikaingiwa na ubinadamu tu
 
Sasa hivi dental formula yako kwake ni sawa na ya Brad Pitt
 
Sasa hivi dental formula yako kwake ni sawa na ya Brad Pitt
ha ha ha..kuna siku mwenyewe tu alijishtukia akaanza kukiri eti najua nilikukosea enzi zile ulikua ni utoto tu..natamani hata huyu mtoto niliyenae angekua wako yani.na me nikamwambia Mungu hakupenda tuwe wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…