Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo kwako. Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.
Sasa juzi mmekutana mjini anaendesha gari matata sana, yeye anakukumbuka na anakuuliza unaelekea wapi. Unatamani kuwa mke wake kwa sasa lakini hili haliwezekani tena.
Dunia ni duara ni milima tu huwa haikutani.
Oky,,!Mmh mmoja alikuwa brother kweli shule, juzi nimekutana nae akiwa mlinzi wa bank flani hivi hapa mjini.
Mhh mkuu BAK, moyo utakusuta mwenyewe.
Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo wake. Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.
Sasa juzi mmekutana mjini anaendesha gari matata sana, yeye anakukumbuka na anakuuliza unaelekea wapi. Unatamani kuwa mke wake kwa sasa lakini hili haliwezekani tena.
Dunia ni duara ni milima tu huwa haikutani.
Challenge ya kwanza kukiri ulipata div 4 ya D mbili. Silioni hilo likitokea!Yule aliyekuwa mshamba mshamba shule, hata yanayoendelea mjini hayajui, hajui mziki wala fasheni. Alikutongoza ukamjibu kwa dharau kuwa ajiangalie kwanza kabla hajafungua mdomo wake. Form four alipata divisheni one, wakati wewe ulipata four ya D mbili.