Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,111
Nimesikitika hapo unaposema kwamba anampeleka sehemu ulizokuwa unampeleka.
Mapenzi mabaya mapenzi mabaya.
Mapenzi mabaya mapenzi mabaya.
Kumbe ndio maana unalala bar[emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787]
Kichwa chake bomu 😆😆
Nimesikitika hapo unaposema kwamba anampeleka sehemu ulizokuwa unampeleka.
Mapenzi mabaya mapenzi mabaya.
Kichwa chake bomu [emoji38][emoji38]
Kweli kabisa.Kichwa chake bomu [emoji38][emoji38]
Kwahiyo umeachwa jana?[emoji23][emoji23][emoji23]Bar mimi naendaga tu nikiwa na furaha...kwa kipindi kama hiki ni ngumu kunikuta bar
Kwahiyo umeachwa jana?[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ndio hukunywa.
Amenjoli jolie..
Ni wewe au kuna mtu umemsaidia ndugu!!
Tambua kitu kimoja, wakati anataka muda wa kujitafakari yeye alikuwa keshafikia maamuzi, hakuwa wako tena! Pole sana jamani!!
Amini tuu huo ubavu ungekupwaya huko siku za mbele, Mwambie Mungu Asante, amekuonyesha venye ako mapema sana!! Bado hujachelewa, mwache aende. Wako yuko mahali anasubiria mkutane!
Hazard CFC .mwenzio anawahi fursaNaomba nipe mie..?
Daaah 😀 😀Aisee yani unafananisha konyagi na mahaba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii dhambi nani atakusaidia kubeba
Ndo alikupenda kwa dhatiHahah mbona umentag JJ??Amen
Ndo alikupenda kwa dhati
Ndiwooo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]madam wakili niachee kidogo
I miss you[emoji7]When I was your man
ngoja nikupigieI miss you[emoji7]