Ilipaswa kuwa mimi

Ilipaswa kuwa mimi

Kweli kama kuna kitu ngumu kuamini ni kidume kuachwa. Kwanza kabisa huwa unaachwa pindi mambo ndo yanakunyookeeni yaani mpo juu. Kipindi huoni wengine tena, ghafula anakuacha huko huko anachupa na kuangukia kwa mwengine juu kwa juu.
Kidume ukiangalia, huamini macho yako. Unamuona yuleeeeee na kamjamaa. Ushauri; Usijaribu kwenda pigania penzi lako. Atakuona fala sana. Atajiona very saana. Jifanye ka ulikufa macho siku ile alipoondoka. Jifanye ka hujapungukiwa. Ila, usiende kilabuni kupunguza wazo. Utaongeza wazo.
Jifanye ka alikufa na yule unayemuona ni mzuka wake tu. Sema ka yule sungura; "Kwanza libaaaya". Jisemee we mwenyewe tu wala usimwambie mtu asije kukucheka. Ukiingia chumbani, liaaaa baada ya siku mbili tatu utapona tu.
 
Pamoja kiongozi

Mangatara kwa kule kwetu maana yake ni majanga.
 
Kama rahisi vile, ila kutekeleza sasa
 
Back
Top Bottom