Ilikuwaje upande wako

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
667
Nianze na kutoa pole sana kwa walio pitia hii changamoto

Ilikuwaje siku uliyo pata taarifa mpenzi wako kafa ,hapa sizungumzii Mke na mume au mchumba hawa mapenzi yao yanakuwa yapo official na pande zote mbili za wazaz wanajuana.

Nazungumzia wale ambao ni wapenzi tu tena kwa kuiba iba siku mupenzio alipo farik je uliweza kushiriki katika msiba katika atua zote ukiangalia hata hapo nyumban kwao hawakutambui.

Ndio Yale unakuta mtu analia sana msibani kumbe siri yake anaijua mwenyewe .Poleni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…