Amekufanya uwe mpenzi wa timu gani?boyfriend.....we acha tu
Hii ilikuwa premier au FA?, najaribu kuvuta kumbukumbu hii itakuwa miaka gani. Maana tangu Nottingham Forest waiage Premier ni kitambo!Nimeanza kushabikia Manchester United nikiwa na miaka 10, na mechi yakwanza kuiona iliyonifanya ni washabikie ilikuwa dhidi ya Nottingham Forest.
mbona nottingham forest 1998-1999 walikuwepo premier na wakashuka msimu huo wakati ole gunner solsjaer anaingia super sub anawapiga bao 4 kwao city ground stadiumHii ilikuwa premier au FA?, najaribu kuvuta kumbukumbu hii itakuwa miaka gani. Maana tangu Nottingham Forest waiage Premier ni kitambo!
kweli wewe kitambo unafuatilia soka,huyu alikuwa na binamu yake anaitwa Craig Rocastle alicheza chelsea miaka ya 2003 alikuwa kama chipukizi sio 1st eleven sasa hivi yupo Marekani anacheza MLSMimi nilianza kuwa the gunners ki-bahati, wakati nikiwa junior kwenye miaka ya 84-87 nilikuwa mpenzi wa Ajax Amsterdam kwa vile nilikuwa naishi Amsterdam lakini kule UK nilikuwa ni Liverpool lakini niliamua kuachana nao rasmi kwenye mechi ya kufunga msimu 88-89, ilikuwa ni mechi baina ya Liverpool na Arsenal pale Anfield, Arsenal walitufunga 2-0 na kunyakua ubingwa mwaka huo, na kwa kweli kilichonivutia kwenye timu ya Arsenal enzi hizo ni mchezaji mweusi David Rocastle (R.I.P)
Na pale tulipomsajili Wright miaka ya 91 ndio nikaacha kabisa hata kushabikia hata Ajax mimi nikawa ni Arsenal tu labda na Yanga kule nyumbani, na tulipohamia London toka Amsterdam ndipo nilipoamua kuwa na kadi kabisaaa!!!! GUNNER FOR LIFE!!!!!!
Kama Kumbukumbu zangu zipo sawa Nchi ya Hispania kupitia mji wake wa Barcelona waliaanda Olympic mwaka 1992..nina matukio mengi sanaa ya mwaka huu especially huko Barceloooonaa!!Ilikuwa ni1988 katika Mji mkuu wa Catalan(Barcelona),kulifanyika michezo ya Olympic,wakati huo mjomba wangu alikuwa ni mining engineer ktk nchi jirani hivyo nilrudi tena ktk nchi ile kuitikia wito wa mjomba.
Wale vijana,wakiongozwa na Josep"Pep"Guadiola,walikuwa hatari mno, Luis Enrique Martinez,Txiki Begiristain n.k,walikuwa wanapepea.Nikaupenda sana mji ule sababu mjomba alinieleza mengi kuhusu historia ya Catalonia na uovu wa Francisco Franco,na kwamba wale vijana ambao nilikuwa nawashabikia,ukiondoa Martinez,kwa wakati huo walikuwa wakichezea FC Barcelona. They finaly won the Olympic Gold. Na kuanzia 1988 mimi ni Shabiki wa FC Barcelona.
In 1991 Paul Gascoigne "GAZZA" Alipiga free kick maridhawa na ambayo inabakia kwa muda mrefu kichwani mwangu, ilikuwa ni Spurs against Arsenal, nilishangilia sana goli lile, kulikuwa na student mmoja toka london alikuja Field kule kwetu, akanipenda na kwa vile mimi na yeye tulikuwa mara kwa mara tunacheza squash akaniuliza kama kushangilia kule maana yake mimi napenda Spurs, nikajibu ndiyo. Aliporudi kwao akamwambia mama yake kuwa hakutegemea kukuta shabiki wa Spurs Tanzania, basi mama yake akanitumia zawadi ya mpira toka London so nikawa nami naipenda Spurs kwa sababu ya zawadi ile ya mpira. Lakini "Barca 4 Life".
Ilikuwa ni 1988 katika Mji mkuu wa Catalan(Barcelona),kulifanyika michezo ya Olympic,wakati huo mjomba wangu alikuwa ni mining engineer ktk nchi jirani hivyo nilrudi tena ktk nchi ile kuitikia wito wa mjomba.
Wale vijana,wakiongozwa na Josep"Pep"Guadiola,walikuwa hatari mno, Luis Enrique Martinez,Txiki Begiristain n.k,walikuwa wanapepea.Nikaupenda sana mji ule sababu mjomba alinieleza mengi kuhusu historia ya Catalonia na uovu wa Francisco Franco,na kwamba wale vijana ambao nilikuwa nawashabikia,ukiondoa Martinez,kwa wakati huo walikuwa wakichezea FC Barcelona. They finaly won the Olympic Gold. Na kuanzia 1988 mimi ni Shabiki wa FC Barcelona.
In 1991 Paul Gascoigne "GAZZA" Alipiga free kick maridhawa na ambayo inabakia kwa muda mrefu kichwani mwangu, ilikuwa ni Spurs against Arsenal, nilishangilia sana goli lile, kulikuwa na student mmoja toka london alikuja Field kule kwetu, akanipenda na kwa vile mimi na yeye tulikuwa mara kwa mara tunacheza squash akaniuliza kama kushangilia kule maana yake mimi napenda Spurs, nikajibu ndiyo. Aliporudi kwao akamwambia mama yake kuwa hakutegemea kukuta shabiki wa Spurs Tanzania, basi mama yake akanitumia zawadi ya mpira toka London so nikawa nami naipenda Spurs kwa sababu ya zawadi ile ya mpira. Lakini "Barca 4 Life".
Mkuu ilikuwa 1992 ndani ya Wembley kwenye fainali ya League Cup.Hii ilikuwa premier au FA?, najaribu kuvuta kumbukumbu hii itakuwa miaka gani. Maana tangu Nottingham Forest waiage Premier ni kitambo!
Mheshimiwa Beckham kaanza kuchezea United mwaka 1992.David Beckham:
Timu ya kwanza duniani kuifahamu ilikuwa ni Manchester United kupitia katika gazeti la Mfanyakazi na nilikuwa dogo kipindi hicho, nakumbuka miaka ya 88-89 kuna mchezaji ambaye nilikuwa nampenda sana ambaye ni David Beckham mara nyingi uso wake niliuonaga sana ktk gazeti lile la mfanyakazi kurasa za michezo.
Mkuu ulimaanisha 1992 nini? Maana 1988 Summer Olympics zilikuwa Seoul, South Korea alafu Pep Guardiola ameanza kucheza Barca(first team) 1990 wakati Johan Cruyff kocha.Ilikuwa ni 1988 katika Mji mkuu wa Catalan(Barcelona),kulifanyika michezo ya Olympic,wakati huo mjomba wangu alikuwa ni mining engineer ktk nchi jirani hivyo nilrudi tena ktk nchi ile kuitikia wito wa mjomba.