Haaaa....!!!! Haa..haa.!!! zimekosekana ndizi mbivu.
Hahahahahaha watu wakiskia mlo kama huo wanaenda nazo mfukoni lol😉😉😉😉
Kama ulikuwepo,
Nilikuwepo na ndizi zangu 3 kwa pochi
Maji yako wapi tunawe !!!!
Ha ha haaaaa chakula cha kula hivo kitam bana!!AchaaaAh hapo hakuna kunawa utanawa ukimaliza kula lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kinakuaga na Baraka kweli katika mkusanyiko Afu upige goti au mkao namba 4 !! Wweee!! kwetu tunausemi " Mloo mnono unatosha wote wajao " yaani aliekaribishwa na mpitanjia all welcome...Ha ha haaaaa chakula cha kula hivo kitam bana!!Achaaa
Mtu tatu mpaka nne ukizubaaa hushibi unaondoka na njaaa....ni mwendo wa tonge nyama!!!Duh sahani mtu ngapi?
Binti Nnass wee ndiyo mwenyewe !! sasa hiyo ni Biriyani au Afghan Qubli??????Duh sahani mtu ngapi?
Duh sahani mtu ngapi?
somewhere in dar..
Ah hapo hakuna kunawa utanawa ukimaliza kula lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ha ha haaaaa chakula cha kula hivo kitam bana!!Achaaa