Tafakari haya:
1. Watanzania walio wengi hawakupiga kura
2. Wachache waliojitokeza walifurumshwa na Gen Z.
3. Mawakala hawakuwepo tena.
4. Waliojiandikisha ni 37M na CCM wenyewe hawana wanachama hata milioni 10. Je, kura 32 milioni za Samia zimetoka wapi?
5. Bila intaneti, wamesafirishaje matokeo?
Kwanini wamelazimisha?
Si suala la Samia anymore, ni suala la CCM, Kundi Mtandao (alilolisema ndugu Polepole) kwani anguko halingekuwa la Samia tu; na hatari mbele ni CCM kufa mazima.
Wamejichimbia mizizi majeshini, hivyo uchafu wao unawagusa wakubwa wengi kwenye vyombo hivyo.
Ni zaidi ya Samia, ni zaidi ya CCM! Tuna safari ngumu, ila ni mwanzo wa mwisho usiotarajiwa hata na CCM yenyewe