Ilikuaje mpaka ukamla mke wa mtu?

Ilikuaje mpaka ukamla mke wa mtu?

Wake za watu wengi wameolewa tuu kwa fashion,,kama ndoa nyingi zimelazimishwa tuu.Ndiyo chanzo cha kuchepuka aisee.Yaani mke wa mtu anaweza kumganda mume wa mtu vya hatari.
 
Huu nao ni aina fulani ya ufala. Utafikiri mke wake anabakwa. Wa kuanza naye hapa ni mke wake kwanza. Atapiga risasi wangapi? Anyway; haya mambo ni magumu sana !
Dawa ni kuachana na wake za watu, watu wamewekeza kwenye familia, ww wataka mtu asahau familia na watoto kisa uume wako.
 
Kuna dada mmoja tulikuwa tunafanya kazi pamoja ofisini, ni mstaraabu mno. Kwakuwa mimi tumezoeana sana akawa ananisimulia mambo yake mengi yakiwepo ya mahusiano.

Akawa ananieleza namna ambavyo mme wake anamcheat, mimi ndio nikawa mfariji na mshauri wake. Nje ya kazi, mara moja moja tulikuwa tunatoka na muda huo tayari shetani alikuwa amesema jambo na mimi [emoji23]

Siku isiyo na jina tulijikuta tupo kitandani tunafanya upembuzi yakinifu. Ulikuwa mchezo wetu mpaka pale alipohama ofisi

Ilikuaje siku ukamla mke wa mtu?

Note: Ukitaka kula mke wa mtu, usisahau kutembea na mafuta. Yatakusaidia, thanks me later.
Mtume-MUHAMMAD (s.a.w) alisema siku ya kusimama hesabu yaan kiyam wale wote waliozini tupu za waliozini nao zitabandikwa juu ya uso wake ...
 
Mie mwaka 2010 nilirudi uraiani baada ya miaka kadhaa ya miangaiko kwenye kona za dunia nikakuta mademu zangu wote wameshaolewa na wana watoto. Waliposikia nipo mjini ni kama vile mashetani yaliwapanda, kuna wawili walikuwa Ar nilikuwa nabadilisha tuu leo huyu kesho huyu, tena mbaya waume zao ndio waliwaambia wameniona mtaani wakaanza kujileta bila wao kujua. Nikaona imekuwa kero nikakimbilia Dar kuwakwepa ubaya nikakutana na wengine wawili mchezo ukarudi pale pale na mmoja wa Ar akawa anafunga safari kunifuata Dar.
Baadaye nilikuja kujiisi kwamba sio fair nikabadili namba ya simu nikawakatia mawasiliano na kufanya bonge la toba.
 
Mkuu hii toba yake unatakiwa ukawaombe msamaha wamezao Kwanza wakikusamehe ndio urejee toba Kwa mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kuna demu wa mjeshi ananisumbua sana mara ananambia niende mumewe yupo kozi.Mara anipigie simu anaomba ushauri kwanini mumewe hamnunulii simu janja basi daah! Ameshajaa kwenye kilengeo ila nikiwaza kwenda kumtafuna nafsi inagoma.

Chanzo cha kumpata alikuwa ananisumbua akiomba namba zangu huko Fb.
Utafirwa vibaya
 
Alikuwa anakuja nae maskani tunapiga ulabu. Tukazoeana na shemela jamaa umri umekwenda kidogo. Nikazoeana na shemela hata kupanga namba. Shemeji akaomba nimtafutie kazi nikamwambia sawa.
Ilikuwa mwezi 8. Mzee akasafiri. Jioni moja shemeji anapiga simu nikapokea. Akaniambia mzee hayupo afu ana hamu ya bia.anataka nimpelekee home. Nikamwambia sawa. Baada ya muda akasema nichukue na konyagi kubwa ataenda kurudisha pesa. Ilikuwa kama saa 2 hivi nikapeleka. Ile naingia namkuta na kigauni kifupi toto limejaza vibaya. Pombe siyo chai tunaanza kuelewa. Mara shemela unachezwa na dushe. Kumgusa bamia la kutosha.nikamaliza shughuli. Ukawa mchezo wetu..... jamaa alikuja gundua yaliyotokea mabaya sana sitaki hata kukumbuka
 
Mambo gani yalitokea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alizibamba message nini?
 
Back
Top Bottom