Name ID yako inataka kufanana sana na dawa nayotumia kwa ajili ya kutibu Typhoid hapa kasoro neno 1 tu limekosekana, nimeanza dose jana, ina bei kuliko dawa zingine za Typhoid..Wew jichangaje uyo demu c anajishuhulisha na saloon na yupo dar katikati.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Labda alipumuliwa mgongoni! Sidhani kama anaweza kuja kuandika hapa.
Hiyo inatibu hadi gonoName ID yako inataka kufanana sana na dawa nayotumia kwa ajili ya kutibu Typhoid hapa kasoro neno 1 tu limekosekana, nimeanza dose jana, ina bei kuliko dawa zingine za Typhoid..
Back to the topic, mwache jamaa ajichanganye kwa mke wa mjeda, Sidhani kama tutamuona tena humu JF forever.