Ilikuaje mpaka ukamla mke wa mtu?

Ilikuaje mpaka ukamla mke wa mtu?

Mkiambiwa mke wa mtu sumu muwe mnaelewa. Oneni mwenzenu alivyopewa njugu za kutosha. Alionywa lakini hakusikia View attachment 1600290View attachment 1600294
Hii video ilisurface kipindi kile cha wasouth na ilisemwa ni south africans wameingia nyumba ya mnaijeria na kuua.

Leo imeletwa na kisa hichi. We ungekua mwenye mke ungekua na muda wa kutype hivi?
 
Kuna dada mmoja tulikuwa tunafanya kazi pamoja ofisini, ni mstaraabu mno. Kwakuwa mimi tumezoeana sana akawa ananisimulia mambo yake mengi yakiwepo ya mahusiano.

Akawa ananieleza namna ambavyo mme wake anamcheat, mimi ndio nikawa mfariji na mshauri wake. Nje ya kazi, mara moja moja tulikuwa tunatoka na muda huo tayari shetani alikuwa amesema jambo na mimi

Siku isiyo na jina tulijikuta tupo kitandani tunafanya upembuzi yakinifu. Ulikuwa mchezo wetu mpaka pale alipohama ofisi

Ilikuaje siku ukamla mke wa mtu?

Note: Ukitaka kula mke wa mtu, usisahau kutembea na mafuta. Yatakusaidia, thanks me later.
Kuna video ya mfanyakazi wa bank huko uganda, uliiona?
 
Wakati ndoa yangu inachangamoto ya kunyimwa k na mke wangu yaan hapo hali mbaya kinyama ,pita pita zangu ktk magroup ya WhatsApp nikakutana na mdada mmoja WA kiluvya baada ya maongezi ya hapa na pale mwisho WA cku nikamueleza changamoto ninayopitia akakubali kunipunguzia maumivu japo nae mke wa mtu,

Mwisho wa cku alikuja paleee mnazi mmoja wakati mzee yusufu anazindua albam yake ya kaswida alivyooachana na taarabu ,mida ya saa kumi mumewe anarudi kiluvya mm nikamfuta mpka kiumeni ,tulipiga show moja matata sana mwisho wa cku akaniambia alikuwa na miezi kibaaao hajaduu mumewe anasema anaumwa kuanzi hapo ikawa kila j mosi anakuja napiga show ucku kucha asubui anakwenda kwa mama yake anadhinda huko jioni namsindikiza mpaka kimara anarudi kwao tulidumu hivi zaida ya miezi kadhaa na nyumbani nikawa csumbui teeena mpka niliposafili nje ya dar nilikaa muda mreeefu cku moja akanitumia ujumbe yupo Dubai anafanya kazi ndoa yake ishavunjika,


Kisa cha pili wakati nipo Moro kuna rafiki wa dada yangu mke wa mtu aisee huyu dada NI mrembo balaa sasa nikawa nawaza jinsi hata ya kupata namba zake maana ukiharibu pale umeharibu kweli ukizingatia urafiki wao wa kushibana sana,cku moja nilikwenda kusaidia sistea kupiga dawa Shamba la mpunga,kufika kule nikakutana na yule dada maana tulipakana mashamba ktk maongezi akanipa namba, mm muda wangu ulipokwisha nikaja zangu dar maisha yakaendelea ,


Cku moja nakwenda zangu mbezi ilikuwa j pili nikamtumia sms ya kumsalimia akanijibu yupo Mikumi anakuja dar , nikawaza anakuja kufanya nn akasema binti yake anaumwa kwa hiyo alileta kwa kaka yake ili atibiwe anakuja kumchukua anatakiwa while, unafikia wapi mbezi ,nikamuomba j 3 aje mitaa ninayoishi kwa heshima ya dada akakubali maana mm kaka yake sio mtu mbaya kwake,kesho yake j 3mida ya saa 4 akatia tim maana nilimwambia asimwambie mtu yeyote kama nimemwita akatii sasa nikawa nawaza nafanyaje hapa mwanaume kichwa cha huu kinauma na cha chini kimecmama, tukaka ktk mkahawa nikamwambia agiza utakacho akaagiza uzuli aliagiza vitu laini vya kumaliza Dk 2 nikamwambia mm ckai mtaa huu hapa nipo kwa chakula na hapa tulipo hatuwezi kuzungumza kwa ulefu unaonaje tukitafuta sehemu iliotulia akasema sawa tukaenda nyumba ya wageni ,nikalipa tukaingia nikaenda kununua ndom,kurudi nimekuta ametulia mkavuuuu nikasema ya leo Kali,itabidi nimwombe msamaha na kumueleza shida yangu akakaaa kimya akaniangaliaaa nikaendelea tena nikaona ameanza kukunja sula nikaona hapa ndio nakwenda kuvunja undugu nikainuka nikaenda alipokaa nikamwinua kwa nguvu bila jutarajia alaf nikamfuta kumtoa kwenye kiti ,nikamkumbatia nikaanza mashambulizi akatumia njiaa zooote za kujitetea kasolo kupiga kelele tu, mwisho wa cku akapanda na hisia taratiibu tukaenda kwenye uwanja wa Fundi selema nikapiga kimoja tu,tukaondoka samahani nyingi sana jioni ananitumia sms ya kunilaumu kwnn nimepa chakula kwenye mifuko ,akimaanisha kutumia kinga ,nikamwambia njoo jumatano akaja mapeeema baada ya kufanya taratibu zote za afya tukaenda home ilipigwa show ya kibabe mpaka alhamisi anaondoka Tumbo linamuuma ,kumbe yule manzi anatumia kitanzi na mumewe ana kibamia huku mkono wangu wa tembo umetoa kutanzi mambi akabeba mimba maisha mapya yakaanza ya kuja kulala kwangu kila akija anataka mihogotu ile ya kuchemsha au kukanga na akiondoka kingine aondoke nae mwisho wa cku akarudi kwao maisha yakaenda ille mimba kufika miezi 7 akajifungua watoto wakafa wote ikawa pona yangu maaana mpka hapo hakuna aliekuwa anajua na hakuna aliekuwa anafahamu kwmba tunawasiliana huku dar,alivyo pona akaweka kitanzi mamboni motooooo alinikubali sana yule mwanamke akasema kwanza unajua kumuandaa mwanamke hauna kibamia alafu ikisimama inakuwa imesimama kweli kweli yaani anakuja anakaa geto cku 3ndi anaondoka,



Hii NI ya mwisho huyu dada NI mrembo mweuis mnene atumii midawa ya ajabu ajbua msabato alikua ofic kwetu na gari yake aiseee ofuc nzima ilicmama kwa sekunde kadhaa kumshangaa mjaluoa huyo baada ya kuwa mtuja wetu nikamwomba namba kumbe vijana wa pale woote washachukua mawasiliano nae na mpaka boss nae yumoo nikawa naenda nae tararibu kama mlevi vijaba wooote baada ya kumaliza maneno yako na kugonga mwamba ukapita mwaka mm ninayo namba yake na tunapigiana kwa mambo mbali mbali ,cku moja nikamweleza lengo langu alicheka sana anakesa hapo ofic kwenu ilibaki ww tu wote wamenitongoza basi nikawa naenda nae mdogo mgodo akasema ofini kwangu mm akimaanisha dukani kwake wateja wanaume asilimia 90 wamemtingoza baaada ya kuwa nae Karibu sana akawa ananieleza changamoto za ndoa yake,cku moja nikamuomba tuonane sehemu, akaniambia isiwe guest nikasema sawa ,tukakutana enelo la tukio, mm wala ckulaza damu nilipoingia ndani tu nikafunga mlango kabla hajakaa sawa nikawa nimemkumbia tia ulimi sikiono pandisha blauzi nyonya Sana'a kitofu chezea sana nyona sana mzaiwa na sehemu za muhimu hapo tupo sebuleni ,mara tukaamia chumbani nikamvua nguo zooote baki na pichu tu chezea sana huyu mwanamke kilo zake kama 100 pata picha mwanamke wa aina hiyo akasema hicho ndio ulichoomba tukutane hapa nikamwambia ndio akaniuliza mbona ckusema nikawa cna jibu akasa leo haiwezelani nip ktk cku zangu za hatari na mazingira hata sio rafiki kwangu ,ckubisha tukavaa tunaondoka ,baada ya cku 2mwenyewe akaniambia mwili unamuwasha natakiwa nikamkune maana hajawai kufanyiwa nilichomfanyia akabiambia nitafute guest tulivuuuu na nikafanya hivyo tupofika tukapiga show za nguvu kisha akasema inatosha nimekojoa mara zisizo na idadi akaenda kuoga ile anarudi amemama mlango wa choooni mvua ikaanza kunyesha nikaamsha tena popo yule mwanamke japo mnene lkn yupo vizuli c mchezo tulitumia ndom kama 4 mapka tunaondoa pale mida ya saa 9 Tupo hapo toka saa 3 asubi alipoondoka tukawasiliana kama cku 4 akasema mm na ww baasi nikamuuliza kwnnn akasema yupo hatalini kuvunja ndoa kwa penzi nililompa maana hajawai kupata kwa hiyo tuishie pale pale ckulazimisha ila niepanga jumapili moja nikamtembelee ofcn kwake ,ile ofic ilitukutanisha imekufa kitaaambo,

Hivi cjafai kuwa mwandishi wa hadidhi za apenzi kwa utunzi huu maaana hapa hakuna cha kweli nimejalibu tu kutunga ,japo uwandishi NI changamotoa sanaaa,kutokana na cm nitumiayo

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Hilo liko wazi kuwa unatunga
 
yote ni ubatili,hakuna kpya chini ya jua japo kwako yawezakuwa jambo geni
Vipo vingi vipya,acha kukalili misemo bila tafiti,
Whatsaap,facebook,insta,hazikuwepo Kote duniani karne 20!
Diesel engine na magari hayakuwepo miaka 2000 iliyopita,
Internet haikuwepo,na computer hazikuwepo wakati wa mkutano wa berlin wa kuigawa Afrika.
 
Vipo vingi vipya,acha kukalili misemo bila tafiti,
Whatsaap,facebook,insta,hazikuwepo Kote duniani karne 20!
Diesel engine na magari hayakuwepo miaka 2000 iliyopita,
Internet haikuwepo,na computer hazikuwepo wakati wa mkutano wa berlin wa kuigawa Afrika.
Pisi Kali zilikuwepo?
 
Kuna dada mmoja tulikuwa tunafanya kazi pamoja ofisini, ni mstaraabu mno. Kwakuwa mimi tumezoeana sana akawa ananisimulia mambo yake mengi yakiwepo ya mahusiano.

Akawa ananieleza namna ambavyo mme wake anamcheat, mimi ndio nikawa mfariji na mshauri wake. Nje ya kazi, mara moja moja tulikuwa tunatoka na muda huo tayari shetani alikuwa amesema jambo na mimi

Siku isiyo na jina tulijikuta tupo kitandani tunafanya upembuzi yakinifu. Ulikuwa mchezo wetu mpaka pale alipohama ofisi

Ilikuaje siku ukamla mke wa mtu?

Note: Ukitaka kula mke wa mtu, usisahau kutembea na mafuta. Yatakusaidia, thanks me later.
alinidangaya hajaolewa kumbe kaolewa
 
Vipo vingi vipya,acha kukalili misemo bila tafiti,
Whatsaap,facebook,insta,hazikuwepo Kote duniani karne 20!
Diesel engine na magari hayakuwepo miaka 2000 iliyopita,
Internet haikuwepo,na computer hazikuwepo wakati wa mkutano wa berlin wa kuigawa Afrika.
Yote Hayo ni ubatili mtupu,maana yatazoeleka nakupita,hakuna kipya Chenye kudumu, Nani asiejua Iyo facebook,whatsapp,instagram....la hasha hakuna kipya chini ya jua... Be brave son
 
Habari za sijui jelly ni kujifariji tu sawa na kusema Kuna laana na porojo za aina hiyo.Hizo vitisho ziko ili kuleta heshima tu kwa mke wa mtu lakini kulana kwa wake na waume za watu na vijana ni Sana tu.
Observation yangu ni kwamba ukibambwa ni ajali Kama ajali zingine,pili Kuna changamoto nyingi za ndoa zinafanya wanawake waliwe tena kwa ajili ya faraja tu na mambo ya kiuchumi.
Kingine Hali ya kuchokana tu inaweza sababisha,kwa hii observation huwa sijali atakayekatisha mbele natembea nae but huwa sitaki mazoea Wala outings nao na Mara nyingi huwa nikila Mara kadhaa natafuta kisingizio tunaachana siwekagi kambi ukijifanya unaweka kambi utakuja umbuka.Kwamba mke wangu Wana nduu sijali maana sijui
 
Kwisha habari yake mbwa huyu...Ya
Mkiambiwa mke wa mtu sumu muwe mnaelewa. Oneni mwenzenu alivyopewa njugu za kutosha. Alionywa lakini hakusikia View attachment 1600290View attachment 1600294
Yani kuna watu ni kero mpaka balaa. Unaanzaje kumla mke wa mwenzio? Maana mwanamke akishaanza kuliwa nje lazima aanze nyodo kwa mumewe tu. Na ni ngumu sana kuambilika.

Kuna mtu aliwahi kunisumbua sana na GF wangu mmoja niliempendaga sana. Ilikuwa akija kikazi mkoa tuliopo lazma waonane kwa siri sijui hata alimpaga nini. Mwanamke akawa haambiliki yani niliongea hadi siku nikampigia simu jamaa kwamba najua kwamba atakuwa na affair na demu wangu ila sitaki kuona anamsumbua maana anatingisha hali yetu kimapenzi.

Demu always alikuwa anakana na kusema hamna kitu kinaendelea baina yao ni urafiki tu. Mwisho nilijionea kero kuendelea kuishi na mtu kwa mashaka nikaamua nimkache japo roho iliuma ila nilihisi anaweza kuwa mwiba zaidi mbeleni.
 
Mwanamke ni Ex wangu, aliolewa haraka haraka bila kufikiria! Najuta tu kuumiza hisia za huyo mume wake japokama hakuwahi nishtukia wala kunikamata, ila alijua mke wake anachepuka na kidogo nivunje ndoa yao, mke alijisahau sana na dharau zikawa waziwazi kwa mume wake ! Sitarudia tena kufanya hilo kosa
Ungekula upanga...Watu wengine hawana msalia mtume. Anakupa kubwa tu halafu freshi.
 
Kuna mwanangu ndo depo zake hizi, naona huu uzi unamuhusu....
 
Mie nilienda nje ya mji kwa miaka kama 6 niliporudi maex wote wameolewa, namie nikawa ndio tuu nimeoa Baada ya harusi wife akatangulia kuondoka kwa ajili ya kazi, nilivyoshambuliwa na maex ambao ni wake za watu sio mchezo, nilikuwa nawabadilisha kama mashati mpaka nikajihisi nataka kuharibu ndoa yangu maana nilisahau natakiwa nirudi kumfuata wife mpaka wazee wakaanza kunikemea kwa nn bado nipo. Nikaamia mji mwingine ili kuwakwepa lkn kuna baadhi yao wakawa wanafunga safari kunifuata.
 
Sijuwi nini kitatokea mbeleni ila tangu nizaliwe sijawahi tembea na mke wa mtu na huwa namuogopa.Ki ufupi nkishajua mtu ni mke wa mtu sinaga hisia naye kabisa.Huwa naheshim wake za watu balaaa
Wewe kama mimi yani akishaitwa mke wa mtu basi nakaaga mbali maana najua hakina kitu kinamuuma mwanaume kama kummegea mke wake.
Kuna maza mtu mzima enzi nimemaliza chuo alitumia kila aina ya mitego lakini yote niliitengua.
Kuna siku alinipiga tukio la hatari yani ni sawa na movie sema nilichomoka kiujanja sana, na kukaa mbali naye.
 
Wewe kama mimi yani akishaitwa mke wa mtu basi nakaaga mbali maana najua hakina kitu kinamuuma mwanaume kama kummegea mke wake.
Kuna maza mtu mzima enzi nimemaliza chuo alitumia kila aina ya mitego lakini yote niliitengua.
Kuna siku alinipiga tukio la hatari yani ni sawa na movie sema nilichomoka kiujanja sana, na kukaa mbali naye.
Utakuwa mgonjwa
 
Back
Top Bottom