Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Tena alegeee mpk sehemu za sili apate na WA kumbamduaUshindwe na Ulegee
Huu mchezo mnausema sana humu, na sio kwamba mnausema kwa bahati mbaya bali mna mipango hiyo. Lakini bora muendelee ni hii michezo ya kumalizana, maana huenda tukapata mabadiliko ya kweli.Mapema 2021 matukio yalianza hivi hivi safari za Karimjee kutokwisha hadi pigo kuu lilipotimu.
Ee bwana Mungu wa Majeshi mlinde Rais wetu na mpe nguvu ili aweze kulitumikia Taifa kwa amani-AMINA!
Hujaenda ibadani Kimara KKkT leo? SijakusikiaUshindwe na Ulegee
Ko tunafanyaje then?Hatari,hakuna ubaya.Uzuri Tanzania huwa hatuna uchaguzi tena endapo Rais akilala mazima.
Sasa si mpango anachukua kiti ,maisha yanaendelea.Ko tunafanyaje then?
Sisi tunachotaka mama yetu awe mzima,huyo Shetani wako akupitie weweMapema 2021 matukio yalianza hivi hivi safari za Karimjee kutokwisha hadi pigo kuu lilipotimu.
Ee bwana Mungu wa Majeshi mlinde Rais wetu na mpe nguvu ili aweze kulitumikia Taifa kwa amani-AMINA!
Kabisa.Huu mchezo mnausema sana humu, na sio kwamba mnausema kwa bahati mbaya bali mna mipango hiyo. Lakini bora muendelee ni hii michezo ya kumalizana, maana huenda tukapata mabadiliko ya kweli.
Magufuli part 2 anakujaHamna MBAYA uziri magu alishatuondokea tupo salama
Kwakweli !!Ushindwe na Ulegee
Hiyo ngoma mpaka 2030! Na kwakujua hivyo ndipo mnapo pagawishana mnaanza kutafunanaMapema 2021 matukio yalianza hivi hivi safari za Karimjee kutokwisha hadi pigo kuu lilipotimu.
Ee bwana Mungu wa Majeshi mlinde Rais wetu na mpe nguvu ili aweze kulitumikia Taifa kwa amani-AMINA!