Ili uwe bingwa lazima uwafunge mabingwa

Babu Kijana

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
587
276
Hili ni wazo langu kwa Taifa stars, mabingwa wote huwa mabingwa kwa kuwafunga mabingwa, msitegemee timu za ki-chadi chadi, sasa imejitoa na group limebaki na Nigeria na Egypt na Tz, point zimepunguzwa kwa kila timu ilomfunga chadi. Tukomae tuwafunge hao waliobaki
 
Naungana na wewe 100%. Kimsingi hakuna nafasi ya kuipata pepo bila kwanza kupitia kifo.
 
Shida ni je tutaweza?
Na je Chad isingejitoa tungeweza?Kimsingi hakuna cha muhimu kilichobadilika kwa Chad kujitoa.Cha tofauti ni kuwa tungemaliza nafasi ya tatu kwenye group ketu kama wasingejitoa.Wao wangekuwa wa mwisho.Nafasi ambayo haitupi chochote.Baada ya kujitoa tutamaliza nafasi ileile ya tatu lakini wa mwisho.Sasa kama tunamlalamikia Chad kujitoa basi tunamlalamikia kwakuwa amesababisha tuwe wa mwisho kwenye group.A thing which is ridiculous!

Tukiwafunga hawa giants wawili nafasi bado ipo.Na ni vilevile hata wasingejitoa Chad.Bila kuwafunga Nigeria na Misri tusingefanikiwa chochote.Chad ni constant factor ambayo ingempa kila nchi kwenye group 6 points.Kujitoa kwake kunaipa kila timu zeto point.Kwahiyo ni vilevile tu kufuzu kutategemea matokeo ya timu 3 tu na ambazo ndo zimebaki.Tuache kulialia tuwafunge hawa waliopo
 
Back
Top Bottom