Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

Mkuu mimi nakuelewa sana sana sana sana...hii mbinu ni kali na yenyewe...100% ukweli.imewapatia wake wengi ninaowafahamu...
Tatizo wanawake kila mtu ana akili zake,wanategemea sana sana ya kuambiwa na Mashoga ndo waamini.
 
sure, hapo ndipo wanapoonyesha udhaifu
 
Hujamalizia ushauri,
Akishaolewa ndio aanze sasa kuonyesha tabia yake halisi au?
Manake hizo tabia mpya anazo act nazo ki msingi sio zake, anajibana tu kulazimisha.
 
Na kimsingi hutaweza atajikuta tu ametenda maana tabia ni mazoea.
Nafuu abadilike kwanza pale anapoishi dini ikishakolea na watu wakastaajabu mabadiliko yake ndo ahame akaliendeleze.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…