Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,144
- 48,368
Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.
Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu.
Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu.
Hii itaimarisha muungano wetu.