Ili kuficha makalio yake yaliyo wazi, mbuni hufukia kichwa mchangani, na kufanya yaonekane hata zaidi - ndivyo ilivyo kwa sisi Watanzania!

Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,974
Points
2,000
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,974 2,000
Huwa kila nikiamka nafatakari sana juu ya hatima ya Tanzania na suala zima la uongozi na usalama wa nchi yetu. Kuna mambo makubwa yanatokea lakini tunajifanya kama hatuyaoni na hatutaki hata yajadiriwe kwa kina. Tunakuwa kama mbuni ambaye anadhani amefisha aibu ya makalio yake yaliyo wazi kwa kufukia kichwa kwenye mchanga, na katika kufanya hivyo anainama na kuyafanya makalio yake yaliyo wazi kuonekana hata zaidi!

Hebu tujiulize, hivi kweli Tanzania tumefikia hatua ambapo tunaona haya matukio makubwa yanayotia shaka uongozi bora, amani na utulivu wa nchi yetu kuwa si ya msingi sana?
 1. Suala la katiba lililozikwa kimya kimya kwa utashi binafsi wa Raisi tofauti na utashi wa mamilioni ya wananchi wa Tanzania
 2. Suala la kikundi cha utekaji na mauaji cha "wasiojulikana" ambao hadi sasa kusema hatujui ni nani ni katika kujifanya hatuelewi ukwel wa mambo
 3. Suala la ubabe na uonevu dhidi ya wabunge wa upinzani bungeni, ambao wapo kikatiba kama wawakilishi wa sehemu ya wananchi wa Tanzania
 4. Suala la upendeleo wa wazi wa wilaya ya Chato anakotoka Raisi wetu katika mipango ya maendeleo na matumizi ya fedha za taifa kwa ujumla nje ya taratibu za Bunge
 5. Suala la ukiukwaji wa katiba ya nchi katika shughuli za vyama vya siasa nchini
 6. Suala la uminywaji wa haki za binadamu kutia ndani na udhibiti usio haki wa vyombo vya habari na uhuru wa kutoa maoni
 7. Suala la kuporomoka kwa biashara kubwa na ndogo nchini kutogona na maamuzi yasiyo na hekima
 8. Suala la jeshi la polisi kutumika kama chombo cha chama tawala mara kwa mara
 9. Suala la Jeshi la Wananchi kujiingiza katika mambo ya usalama wa ndani ya Tanzania kwa kutoa matamko na kauli ambaz sio wajibu wao, na hata kutishia wakati fulani kuchukua silaha dhidi ya wananchi wa Tanzania katika tishio la maandamano ya nchi nzima
 10. Suala la migongano ya mara kwa mara na balozi za nje na taasisi za kimataifa kutia ndani Ofisi ya Umoja wa Mataifa, Benki ya Dunia, Jumuiya ya Nchi za Ulaya nk
Hayo hapo juu ni baadhi tu ya mambo makubwa ambayo katika nchi ambazo zinajitambua, wananchi wanaweza kuanza kampeni (protests) zinazoweza kumwondoa raisi na uongozi wa nchi madarakani, lakini sisi hapa kwetu wala, tunaona ni mambo ya kawaida tu. Tuna tatizo gani?
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
3,020
Points
2,000
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
3,020 2,000
Mkuu kupindua nchi si kitu chepesi. Harakati za kupindua nchi zikianza, katikati ya harakati hizo tutakuja kuona ni mara 1000 tungebaki tulivyo..

Ziko nchi zimefanya mapinduzi na zikafanikiwa kwa kias chake.

Mapinduz yakifanyika wakati mwingn ndy yatapelekea kabsa vita isiyoisha ndani kwa ndani..

Hlf Tz tusitegemeee protests against existing system in rule..hakuna kikundi cha risk-takers kinaeza anzisha kichochee serius mapinduz!! Mapinduz yanawezekana ila sasa si rahis kwa Tz hasa kwa haiba ya Watz tulivyo!!
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,623
Points
2,000
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,623 2,000

Hayo hapo juu ni baadhi tu ya mambo makubwa ambayo katika nchi ambazo zinajitambua, wananchi wanaweza kuanza kampeni (protests) zinazoweza kupindua nchi, lakini sisi hapa kwetu wala, tunaona ni mambo ya kawaida tu. Tuna tatizo gani?
Hizo tabia za mbuni ni zako mwenyewe.
Usichanganye utashi pamoja na haki yako ya kuongea ukajumuisha watanzania wote kwenye dhana yako.
 
pamoja Santa

pamoja Santa

Member
Joined
Jan 6, 2019
Messages
67
Points
125
pamoja Santa

pamoja Santa

Member
Joined Jan 6, 2019
67 125
Acheni bwana chato papumue! Yani kuzindua hifadhi hadi Leo unang'aka hujui kuwa hiyo moja wapo ya njia ya Serikali kujipatia fedha baada ya watalii kutalii
 
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,974
Points
2,000
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,974 2,000
Acheni bwana chato papumue! Yani kuzindua hifadhi hadi Leo unang'aka hujui kuwa hiyo moja wapo ya njia ya Serikali kujipatia fedha baada ya watalii kutalii
Yaani wewe Mkuu huko Chato ulichoona ni hifadhi tu ambayo wala haiko Chato iko Biharamuro lakini ikaitwa Chato? Mengine hujaona? I say, huku ndio kufukia kichwa chini ninakokusema!
 
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,974
Points
2,000
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,974 2,000
Hizo tabia za mbuni ni zako mwenyewe.
Usichanganye utashi pamoja na haki yako ya kuongea ukajumuisha watanzania wote kwenye dhana yako.
wewe ni mwingine ambaye kichwa umefukia mchangani na makalio yote yako wazi! Huelewi hata kinachoendelea.
 
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,974
Points
2,000
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,974 2,000
Mkuu kupindua nchi si kitu chepesi. Harakati za kupindua nchi zikianza, katikati ya harakati hizo tutakuja kuona ni mara 1000 tungebaki tulivyo..

Ziko nchi zimefanya mapinduzi na zikafanikiwa kwa kias chake.

Mapinduz yakifanyika wakati mwingn ndy yatapelekea kabsa vita isiyoisha ndani kwa ndani..

Hlf Tz tusitegemeee protests against existing system in rule..hakuna kikundi cha risk-takers kinaeza anzisha kichochee serius mapinduz!! Mapinduz yanawezekana ila sasa si rahis kwa Tz hasa kwa haiba ya Watz tulivyo!!
Mkuu, nimesema protests ambazo zinaweza kufanya nchi ipunduliwe, labda nitumie neno mbadala, kwamba protests zinazoweza kuondoa uongozi wa nchi madarakani, kwa kuwa lengo la protests juwa ni mabadiliko sio kupindua nchi.

Lakini hata hivyo, kama hatuwezi ku-protest, mbadala ni nini basi?
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,623
Points
2,000
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,623 2,000
wewe ni mwingine ambaye kichwa umefukia mchangani na makalio yote yako wazi! Huelewi hata kinachoendelea.
Tatizo lako ni kwamba wewe unataka kulazimisha watu wawe na fikra mgando kama zako.
This is a free country and each of us has the right of expressing ourselves.
 
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,974
Points
2,000
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,974 2,000
Tatizo lako ni kwamba wewe unataka kulazimisha watu wawe na fikra mgando kama zako.
This is a free country and each of us has the right of expressing ourselves.
Yaani kuongelea hayo mambo kumi niliyotaja hapo juu unaona ni fikra mgando? Kudai Katiba iliyo ya kidemokrasi kunawezaje kuwa fikra mgando, kulingana na maoni yako? Suala la kuwa na Kikundi cha "Wasiojuliknan" kinachoteka na kuua watu na serikali kwa sababu zake inajifanya haikioni ni fikra mgando? Wewe una dalili za funza wa ubongo.
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,623
Points
2,000
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,623 2,000
Yaani kuongelea hayo mambo kumi niliyotaja hapo juu unaona ni fikra mgando? Kudai Katiba iliyo ya kidemokrasi kunawezaje kuwa fikra mgando, kulingana na maoni yako? Suala la kuwa na Kikundi cha "Wasiojuliknan" kinachoteka na kuua watu na serikali kwa sababu zake inajifanya haikioni ni fikra mgando? Wewe una dalili za funza wa ubongo.
Ukumbuke kuwa hayo ni mawazo yako tu na inawezekana yakawa tofauti na mawazo ya watanzania 50 milioni. Hivyo basi tofauti hizo hazikupi haki ya wewe kuwaona wenzako wana mawazo mgando na inawezekana kuwa wewe ndiye mwenye mawazo mgando.
 
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
1,256
Points
2,000
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
1,256 2,000
Watu wanasubiri kuongea kupitia sanduku la kura.....2020
 
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2018
Messages
406
Points
1,000
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2018
406 1,000
Huwa kila nikiamka nafatakari sana juu ya hatima ya Tanzania na suala zima la uongozi na usalama wa nchi yetu. Kuna mambo makubwa yanatokea lakini tunajifanya kama hatuyaoni na hatutaki hata yajadiriwe kwa kina. Tunakuwa kama mbuni ambaye anadhani amefisha aibu ya makalio yake yaliyo wazi kwa kufukia kichwa kwenye mchanga, na katika kufanya hivyo anainama na kuyafanya makalio yake yaliyo wazi kuonekana hata zaidi!

Hebu tujiulize, hivi kweli Tanzania tumefikia hatua ambapo tunaona haya matukio makubwa yanayotia shaka uongozi bora, amani na utulivu wa nchi yetu kuwa si ya msingi sana?
 1. Suala la katiba lililozikwa kimya kimya kwa utashi binafsi wa Raisi tofauti na utashi wa mamilioni ya wananchi wa Tanzania
 2. Suala la kikundi cha utekaji na mauaji cha "wasiojulikana" ambao hadi sasa kusema hatujui ni nani ni katika kujifanya hatuelewi ukwel wa mambo
 3. Suala la ubabe na uonevu dhidi ya wabunge wa upinzani bungeni, ambao wapo kikatiba kama wawakilishi wa sehemu ya wananchi wa Tanzania
 4. Suala la upendeleo wa wazi wa wilaya ya Chato anakotoka Raisi wetu katika mipango ya maendeleo na matumizi ya fedha za taifa kwa ujumla nje ya taratibu za Bunge
 5. Suala la ukiukwaji wa katiba ya nchi katika shughuli za vyama vya siasa nchini
 6. Suala la uminywaji wa haki za binadamu kutia ndani na udhibiti usio haki wa vyombo vya habari na uhuru wa kutoa maoni
 7. Suala la kuporomoka kwa biashara kubwa na ndogo nchini kutogona na maamuzi yasiyo na hekima
 8. Suala la jeshi la polisi kutumika kama chombo cha chama tawala mara kwa mara
 9. Suala la Jeshi la Wananchi kujiingiza katika mambo ya usalama wa ndani ya Tanzania kwa kutoa matamko na kauli ambaz sio wajibu wao, na hata kutishia wakati fulani kuchukua silaha dhidi ya wananchi wa Tanzania katika tishio la maandamano ya nchi nzima
 10. Suala la migongano ya mara kwa mara na balozi za nje na taasisi za kimataifa kutia ndani Ofisi ya Umoja wa Mataifa, Benki ya Dunia, Jumuiya ya Nchi za Ulaya nk
Hayo hapo juu ni baadhi tu ya mambo makubwa ambayo katika nchi ambazo zinajitambua, wananchi wanaweza kuanza kampeni (protests) zinazoweza kumwondoa raisi na uongozi wa nchi madarakani, lakini sisi hapa kwetu wala, tunaona ni mambo ya kawaida tu. Tuna tatizo gani?
Napemda udikiteta kuliko demokrasia.
 
yitzhak

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Messages
274
Points
500
yitzhak

yitzhak

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2019
274 500
Kupindua nchi sio km kula kitimoto
Nenda Sudan apo washaanza kumkumbuka bashiri pamoja na maovu yake
 
abdi ally

abdi ally

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
817
Points
1,000
abdi ally

abdi ally

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2018
817 1,000
Kumbukeni mkipindua nchi jesh linashika hatamu,na atakaekuwa anaongoza ataona utamu hapo ndio kimbembe kina aanza.

Tatizo watz weng wanaona mambo katika tv tu nendeni kongo,Sudan Syria Iraq, Afghanistan muone maisha yalivyo hz Bata mnazo kula mnachepuka kwa raha,uswaz patamu kabisa.

Hao mnaowaona wazuri kipind hicho wako ughaibuni na familia zao sis wakina pangu pakavu ndio shida kwetu.

Tuna penda mabadiliko lakin katika njia sahii Ni mara mia kubaki na huyu kuliko yule anaehudhuria vikao vya haki za mashoga.
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
31,983
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
31,983 2,000
Nchi hii viongozi wake na baadhi ya wananchi wake wengi ni Sikio la kufa

Ama ni Sikio la kenge ambalo halina desturi ya kusikia mpaka atoke damu
 
M

mliberali

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
5,227
Points
2,000
M

mliberali

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
5,227 2,000
Hizo tabia za mbuni ni zako mwenyewe.
Usichanganye utashi pamoja na haki yako ya kuongea ukajumuisha watanzania wote kwenye dhana yako.
We we unatofauti gani na cocochanel?
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
2,901
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
2,901 2,000
Kumbukeni mkipindua nchi jesh linashika hatamu,na atakaekuwa anaongoza ataona utamu hapo ndio kimbembe kina aanza.
Tatizo watz weng wanaona mambo katika tv tu nendeni kongo,Sudan Syria Iraq, Afghanistan muone maisha yalivyo hz Bata mnazo kula mnachepuka kwa raha,uswaz patamu kabisa.
Hao mnaowaona wazuri kipind hicho wako ughaibuni na familia zao sis wakina pangu pakavu ndio shida kwetu.
Tuna penda mabadiliko lakin katika njia sahii Ni mara mia kubaki na huyu kuliko yule anaehudhuria vikao vya haki za mashoga.
Baki naye wewe mwenyewe na familia yako nani abaki na shetani .
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
13,643
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
13,643 2,000
Kipindi tupo seminarini tulikuwa tunasema "Kusifu na kuabudu kunawapasa wanyoofu wa moyo"

Ila huku mtaani hali ni tofauti sana.

Watu wa mataifa wanasema
"Kusifu na kuabudu kunawapasa wazee wa kujipendekeza na kujikomba kwa tabibu Pombe."
 
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
2,568
Points
2,000
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
2,568 2,000
Watanzania asilimia kubwa wanatambua haki na wa wajibu wao, tatizo ni ccm! Kukumbatia katiba yenye mapungufu inayompa rais mwanya kufanya atakalo.
 
Forum statistics

Threads 1,316,463
Members 505,652
Posts 31,891,271
Top