Elections 2010 Ili halina ubishi kwa CCM na JK

This is unfortunate kwa sababu huyu JK aliaminiwa sana na watu, hata some oof the great thinkers! lakini leo hata mateja hawamtaki!
Si kawaida kukataliwa hivi katikati ya kipindi.

Kimsingi CCM HAIKUBALIKI
 
Wanang'an g'ania tu kuwa madarakani kwa kutumia fedha za wananchi zinazoporwa na wachache, hasa kikundi cha wahindi wapatao wanne.
 
Wacha CCM ishikishwe adabu. Kada wa CCM ndio waizi wakubwa. Wananchi wa kawaida ndio wanahangaika. Si walisema hata wafanyakazi wagome miaka minane hawataongezewa Ng'o. Wameua nchi hawa, lazima waumbuliwe. Chagua Dr. Slaa for change. Mpaka kieleweke!!!
 
Back
Top Bottom