Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,731
- 8,832
Daladala zinazofanya safari kati ya mwanza mjini hadi kijiji cha Ilalila/Isela kupitia Buswelu katika manispaa ya Ilemela jijini Mwanza zimegoma tangu Jana na kupelekea kero ya usafiri
Chanzo cha mgomo huo ni kukataa amri ya kubeba abiria level seat, wanadai hawapati maslahi
Chanzo cha mgomo huo ni kukataa amri ya kubeba abiria level seat, wanadai hawapati maslahi