Ileje "Windows"

Ileje "Windows"

Duuuh! mkuu umenikumbusha wandali walikuwa wanakuja Tukuyu by foot kuuza maziwa ya mtindi. " ntanjelite lukomu"
 
ungeingilia njia ya Mpemba sio huko Tukuyu!
Mkuu milima hii ya zileje ni picturesque from every angle.

Waweza kupitia Mpemba au hata pale kk.
Lakini hapa nilipita Kapugi nikitaka kwenda kitepu tepu, tatizo njia ilikuwa mbaya.
 
Mkuu milima hii ya zileje ni picturesque from every angle.

Waweza kupitia Mpemba au hata pale kk.
Lakini hapa nilipita Kapugi nikitaka kwenda kitepu tepu, tatizo njia ilikuwa mbaya.

The main entrance to Ileje is through Mpemba junction, sio mbaya lakini
 
Back
Top Bottom