Kukaa tandika Kwani kuna shida gani?Unatufaa sisi tunaokaa maeneo ya Obay na Masaki sasa wewe unakaa Tandika utakufaa vipi?? Tuliza msho...!!
Yaan hapakuwa na mantiki kabisa ya kujenga libarabara baharini wakati barabara za nchi kavu zipo na zinaweza kijengwa flyover na foleni zikaisha, ule mradi ulikuwa ni ushenzi wa kukuza deni la taifa, ufutiliwe mbali na tusiiusikie tena, mradi wa kipumbavu kabisa usio na mantiki wa tija!Flyover moroco si watabomoa majengo tena duh....
Mimi naona bora hela hyo ingetumika kutengeneza barabara zilizokuwa chini ya halmashauri ziwekwe lami....zote
Ni kweli ule mradi wa daraja baharini ulikuwa hauna tija yoyote
Ova
hata flyover ya mwenge na morocco itakufaa pia wewe Masaki, kwani the faster cars move Morocco na Mwenge the faster utafika Masaki, na ni at a fraction of the cost, linginisha na hilo lidaraja ambalo mwishowe magari yataendelea kuweka foleni mwenge, morocco, na hadi hilo daraja litajaa magari kwa foleniUnatufaa sisi tunaokaa maeneo ya Obay na Masaki sasa wewe unakaa Tandika utakufaa vipi?? Tuliza msho...!!
hata flyover ya mwenge na morocco itakufaa pia wewe Masaki, kwani the faster cars move Morocco na Mwenge the faster utafika Masaki, na ni at a fraction of the cost, linginisha na hilo lidaraja ambalo mwishowe magari yataendelea kuweka foleni mwenge, morocco, na hadi hilo daraja litajaa magari kwa foleniUnatufaa sisi tunaokaa maeneo ya Obay na Masaki sasa wewe unakaa Tandika utakufaa vipi?? Tuliza msho...!!
Bora umemjibu Huyo anayejiita mtoto wa masakihata flyover ya mwenge na morocco itakufaa pia wewe Masaki, kwani the faster cars move Morocco na Mwenge the faster utafika Masaki, na ni at a fraction of the cost, linginisha na hilo lidaraja ambalo mwishowe magari yataendelea kuweka foleni mwenge, morocco, na hadi hilo daraja litajaa magari kwa foleni
Sasa wewe hutaki tuwekewe daraja kwa nini?? Tunahitaji daraja ili kupunguza foleni pale kwenye Daraja la Salender pia ujue kuwa itasaidia pia wanaokaa maeneo ya Mwenge, Mbezi Beach, Bunju, Tegeta n.k sasa wewe acha wivu kwa watu wa maeneo hayo!!Kukaa tandika Kwani kuna shida gani?
We kukaa obay/masaki Kwani huendi kukataa gogo!obay yenyewe idadi ya watu kwanza hamko wengi
Ova
Amejibu nini?? Daraja lazima litajengwa!Bora umemjibu Huyo anayejiita mtoto wa masaki
Ova
Nafikiri Francis da don keshakujibu mkuuSasa wewe hutaki tuwekewe daraja kwa nini?? Tunahitaji daraja ili kupunguza foleni pale kwenye Daraja la Salender pia ujue kuwa itasaidia pia wanaokaa maeneo ya Mwenge, Mbezi Beach, Bunju, Tegeta n.k sasa wewe acha wivu kwa watu wa maeneo hayo!!
Uko kwenye ujenzi wa mradi huo niniAmejibu nini?? Daraja lazima litajengwa!
Daraja lazima litajengwa lipo kwenye plan!Nafikiri Francis da don keshakujibu mkuu
Ova
maflyover ya Nini Tena wakati maji ya kunywa tu Ni anasa?Ule mradi hauna kichwa wala miguu, lile daraja wanalodai linapunguza umbali ni kwa asilimia ndogo sana, hakiendani na gharama kubwa za ujenzi; ni bora wajenge flyover kwenye majunction ya kwenda huko coco beach
wakitukanwa na Trump wanachukia....ule mradi ni kama pambo la mji ....tumefikia hapo tuanze kuweka mapambo ili hali bado ndg zetu hata maji safi ambayo tunapaswa kuyatandikia mipira iwafikie watanzania wenzetu tu badoUle mradi hauna kichwa wala miguu, lile daraja wanalodai linapunguza umbali ni kwa asilimia ndogo sana, hakiendani na gharama kubwa za ujenzi; ni bora wajenge flyover kwenye majunction ya kwenda huko coco beach
Unatufaa sisi tunaokaa maeneo ya Obay na Masaki sasa wewe unakaa Tandika utakufaa vipi?? Tuliza msho...!!