maharage ya nazi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 344
- 230
Mkuu hufatilii mambo mbona mkulu alisema ndani ya utawala wake hapatajengwa, na manji akakubali matokeoHabari zenu Wanajamvi.
Eti ile project ya Coco beach/Oysterbay/Kenyatta-Toure Drive imefikia wapi tulioaminishwa na michoro mwanzoni wa 2016? Ilkuwa ikidhaminiwa na Tanzania Investment Bank (TIB). au ilikuwa danganya toto tu?
Kweli mkuu nimeikuta hii project kwenye vitabu vya TIB nikajua wao ndiyo wangetoa fedha za mradi. Halafu ile michoro niliyoiona ilikuwa superb!!!! Nikashangaa kumbe haukuwa mradi wa Manji kama wengi tulivyoaminishwa ila Manji alishinda tu tender ya kutekeleza mradi. Sasa sijui kama utaendelea, labda awamu ingine siyo hii.Habari zenu Wanajamvi.
Eti ile project ya Coco beach/Oysterbay/Kenyatta-Toure Drive imefikia wapi tulioaminishwa na michoro mwanzoni wa 2016? Ilkuwa ikidhaminiwa na Tanzania Investment Bank (TIB). au ilikuwa danganya toto tu?
Kweli mkuu nimeikuta hii project kwenye vitabu vya TIB nikajua wao ndiyo wangetoa fedha za mradi. Halafu ile michoro niliyoiona ilikuwa superb!!!! Nikashangaa kumbe haukuwa mradi wa Manji kama wengi tulivyoaminishwa ila Manji alishinda tu tender ya kutekeleza mradi. Sasa sijui kama utaendelea, labda awamu ingine siyo hii.
Maeneo ya beach ya kuendeleza ni mengi sio lazima coco beach.kama wangeendeleza wangetumia pesa nyingi hivyo hakuna masikini angeweza kuingia hapo.kiingilio kingekuwa si chini ya 30000 ili kuweza kurudisha pesa yao.lengo LA magufuli coco beach ibaki public beach ambayo hata masikini ataenda bure.pia kurikuwa na ufisadi mkubwa sana kwenye mradi huko.Habari zenu Wanajamvi.
Eti ile project ya Coco beach/Oysterbay/Kenyatta-Toure Drive imefikia wapi tulioaminishwa na michoro mwanzoni wa 2016? Ilkuwa ikidhaminiwa na Tanzania Investment Bank (TIB). au ilikuwa danganya toto tu?
nimekugongea likeVisasi/chuki/wivu ndio umetufikisha hapa.
nadhani Baada Ya chama Fulani kushinda u meya wakaamua kupambanisha itikadiKweli mkuu nimeikuta hii project kwenye vitabu vya TIB nikajua wao ndiyo wangetoa fedha za mradi. Halafu ile michoro niliyoiona ilikuwa superb!!!! Nikashangaa kumbe haukuwa mradi wa Manji kama wengi tulivyoaminishwa ila Manji alishinda tu tender ya kutekeleza mradi. Sasa sijui kama utaendelea, labda awamu ingine siyo hii.