Ile ndoa imesambaratika!

Mh hiyo profile mbona kama ya Dr Jesse
 
Its none of our business, sababu ndoa tulizonazo tu zatutoa makamasi, ndio tujali za wenzetu?! Huko ni kupoteza muda, waweza chekelea mwenzako kupata dhoruba kama hiyo halafu nawe ikaja ikakupata, sidhani kama utapenda tukiizungumzia mitandaoni, waacheni watajijuwa wenyewe, ule msemo, nyani hacheki kundule...
 
Tatizo wanaume wanajua wanawake wanatetemekea Sana ndoa..
Ndio maana mwanaume akioa tu anaanza kuchepuka bila woga na mke akilalamika anaambiwa atulie kwa kuwa ameshaolewa ana shida gani
☝️
PALE NDUGU KURUMBEMBE ALIYEPEWA TALAKA KWA AJILI YA UZINZI ANAPOTUMIA NGUVU NYINGI YA KUTAFUTA JUSTIFICATION YA UHUNI WAKE!!!
 
Ubao hufutwa na kuanza kuandika upya usijalii mkuu kuna maisha baada ya mapenzi
 
Kama haijavunjwa na mahakama huyo bado mkewe

Kama haijavunjwa na mahakama huyo bado mkewe with due consequences. Hata baada ya miaka ishirini akifa mkewe huyo atarithi mali zote zikiwemo zile alizochuma baada ya kutengana.
Huyo jamaa angeenda kupata ushauri kwa mwanasheria....siku moja isiyo na jina huyo mke atarudi tu..na kwa vile hakuna divorce or separation decree...basi bado ni mke halali.

Aibu aliyodhani anaikwepa kwa kutokupeleka maombi ya talaka mahakamani itamgharimu zaidi siku moja.
 
Harufu ya damu inamfurahisha MAGUFULI kakaa kimya utadhani Zanzibar Kuna sherehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…