sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Ikumbukwe CAG aliyeondolewa ofisini Prof Assard alifichua upotevu wa trillion 1.5 za umma, aliibua uvujaji wa mabilion ya fedha zilizotumiwa na Ndugai katika matibabu na mihimili hiyo ilikasirishwa na uchafu huo uliokuwa unaibuliwa na kumvurumisha Assard ofisini.
Huyu CAG wa sasa kweli anafuata maelekezo ya mwajiri wake kama alivyoelekezwa siku ya kiapo. Katika ukaguzi wake alichokiona ni upotevu wa hizo milioni 193 za mishaha hewa! Poor CAG never!
Sent using Jamii Forums mobile app