Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,082
- 4,472
Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu.
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .
Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili jambo liishe.
Na hatimaye onesho lijalo huwenda likawa la mwisho, akapita katikati Yao akaenda zake .