Ile chupi ikaanguka mbele ya wote...

Nmecheka saana...paka nmekumbuka siku ya kwanza na cute b kule porini.... huku atoto akisubiri tumalize

Yaani mimi huyuhuyu au mwingine?? Nilimtandika makofi maana alirudi home anatetemeka na maelezo yanajichanganya, nikambana ikabidi aseme ukweli, alitembelea kichapo sio kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Mshana Jr hujaacha mambo yako?

 
Je ile siku kwenye garii? Kweli huna dogo weyeee popote tuu unatakaaa.
Ile siku ya porini atoto alinichapa makofi akaniambia niache kujidhalilishaa

Yaani we mtoto kweli kimeo, ukaenda kurudia kwenye gari!! Nishakushindwa.
 
Last edited by a moderator:
haha mzuri sana hii endelea ilitujue ikawaje
 
du na madem wa sitimbi wanvyokuaga wachaf si itakua ilikua inatoa haruf sana
 
na sipati picha ilivyokuwa chafu..........! kuonyesha imevaliwa weee maana hata cha kujitetea huna
 
hyo inaitwa ukiona kimya ujue nimekubali we niangusage lakini sambi sako daaah kitambo xna
 
hahahahahahahahaahahah aiseeeeee jamaaaa wewe ni mjinga balaaa sasa ilikuwa vita ?? Haya mambo yakupiga show wakati msure kakuagiza dukani saazingine waweza jikuta unamfikia msure anakuona na love bites
 
hahahahahahahahaahahah aiseeeeee jamaaaa wewe ni mjinga balaaa sasa ilikuwa vita ?? Haya mambo yakupiga show wakati msure kakuagiza dukani saazingine waweza jikuta unamfikia msure anakuona na love bites
Siku ya kufa kenge mashimo yote huziba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…