Ilboru na mzumbe hakuna div i ya point 7

Nani alikwambia kupata Points 7 ndo maisha unakuwa umeyaweza?!!!!!!!!!
 
Haya ni matokeo ya kudharau mifumo ya elimu iliyowekwa na watangulizi wake, hakuna msisitizo kwenye shule za wenye vipaji maalum, unadhani tutapata wapi wanasayansi bora, kama walishindwa hata kuandaa mahafali, 2015 yatosha.
 
mimi sijasoma mzumbe wala ilboru miaka ya 2000 rafiki zangu ambao walisoma mzumbe waliniambia kuwa kama huna division one point 7,wewe mbele ya wenzio huthaminiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…