Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Hili ni bweni gani? Rungwe au Oldonyo!? Aisee panazidi kupendeza. Naona lile jengo la ofc bao ni ngangari!
Hili ni bweni gani? Rungwe au Oldonyo!? Aisee panazidi kupendeza. Naona lile jengo la ofc bao ni ngangari!
ni oldonyo kakaHili ni bweni gani? Rungwe au Oldonyo!? Aisee panazidi kupendeza. Naona lile jengo la ofc bao ni ngangari!
Limependeza kinoma! Enzi zetu ilikuwa kupangiwa kwenye hilo bweni ni kama adhabu!ni oldonyo kaka
Acha wivu bana! Nani kakwambia tunataka kuonyesha shule tulizosoma!? Haijalishi ni shule gani umesoma, kinachohesabika ni elimu uliyoipata inakusaidia vipi!Akina kigwangala na Mwigulu kumbe mko wengi, mnataka kuonyesha wa maana kwa shule mmesoma.
Acha wivu bana! Nani kakwambia tunataka kuonyesha shule tulizosoma!? Haijalishi ni shule gani umesoma, kinachohesabika ni elimu uliyoipata inakusaidia vipi!
We unafikiri mtu ameonyesha picha ya sehemu ya muhimu kwangu halafu nisi-comment eti kisa naogopa kuonekana najionyesha!?
Naamini umepitiwa mkuu, maana ungefikiria vizuri ungejiuliza ni faida gani tunapata kama kweli nia ni kuonyesha shule tulizosoma na wakati wengine wetu majina yetu halisi hayajulikani!?
Pamoja sana!
La wivu sina maana sijaona tofauti ya Ilboru, Mzumbe, Tabora Boys, Malangali, Tosamaganga au kwingineko ambako mimi nimesoma. Labda niseme tu nafurahi umekuwa na busara mkuu si kama Kigwangala au Mwigulu, hofu yangu baadhi ya Watz wenzangu ufahari wao ni wapi wamesoma, wanaishi, wamezaliwa, wazazi n.k. kitu ambacho hakifai kutumia kama kigezo cha msingi, nakwambia ingelikuwa hivo ndio vigezo pekee akina Obama wasingeshika madaraka.
Ni Oldonyo mkuu
Hujaona tofauti ya Ilboru na Tosamaganga au Malangali!? Seriously?