ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2015 - 2020.

subiray

Member
Sep 21, 2015
92
26
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2015 - 2020.

(g) Kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar Es Salaam kwa
kufanya yafuatayo:-
Kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyovers) kwenye makutano ya
barabara maeneo yafuatayo:-
TAZARA
Ubungo
Chang’ombe
Uhasibu
KAMATA
Morocco
Mwenge
Magomeni
Tabata

TUMEAHIDI NA TUNATEKELEZA #SasaKaziTu
Chama Cha Mapinduzi's photo.
 
HAPA KAZI TU
 
Miezi miwili imeshapita bado wanajipanga tuu..
 
Baada ya miaka 50 watatekeleza
KITU KINAWEZEKANA ENDAPO MKIWA NA MIPANGO NA USIMAMIZI MAKINI MIMI NAAMINI KWA MIPANGO NA MIKAKATI ILIYOPO YOTE YANAWEZEKANA KINACHOWEZESHA HAYO YOTR NI PESA TU KAMA UNAPESA HATA KUHAMISHA MLIMA INAWEZEKANA WEWE
 
Miezi miwili imeshapita bado wanajipanga tuu..
NI LAZIMA UJUE MIEZI MIWILI NI MIDOGO KATIKA KUJIANDA KUPANGA MIKAKATI YA NCHI MPAKA SASA KILA KITU KINAENDA POA NA TUNAIMANI RAIS MAGUFULI ATATULETEA MAENDELEO MAKUBWA NDANI YA TAIFA LETU KAMA TUNAVYOONA
 
KITU KINAWEZEKANA ENDAPO MKIWA NA MIPANGO NA USIMAMIZI MAKINI MIMI NAAMINI KWA MIPANGO NA MIKAKATI ILIYOPO YOTE YANAWEZEKANA KINACHOWEZESHA HAYO YOTR NI PESA TU KAMA UNAPESA HATA KUHAMISHA MLIMA INAWEZEKANA WEWE
serikali yetu haina usimamizi makini, ingekuwepo tungekuwa mbali na Leo tungekuwa tunaongeleea mengine,
 
Mngefanya tathmini ya zile ahadi za 2010 kwanza. Hii habari ya flyover ilitakiwa iwe imejengwa zamani. CCM ni wazuri wa kuongea sana bila utekelezaji. Tusubiri serikali ya magufuli maana ile ya CCM ilishashindwa kitambo.
 
Back
Top Bottom