Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020

Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020

subiray

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
92
Reaction score
26
ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2015 - 2020.

(g) Kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar Es Salaam kwa
kufanya yafuatayo:-

Kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyovers) kwenye makutano ya
barabara maeneo yafuatayo:-

TAZARA
Ubungo
Chang’ombe
Uhasibu
KAMATA
Morocco
Mwenge
Magomeni
Tabata

TUMEAHIDI NA TUNATEKELEZA ‪#‎SasaKaziTu‬

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom