Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
- Thread starter
-
- #21
Kwani wewe umeitafuta ukaikosa! Na kama wadau hawajawaho hata kuiona, sasa mbona tangu jana nawaona wanashangaa na kupingwa kweli mama anna alivyoipewa, sasa wanapinga document wasiyoijua! Hapo mimi si ndipo ninapoona maajabu. Lakini maajabu zaidi no pale ninapouliza wanachopinga hasa ni nini, wanasema niwaletee waione sasa dah! Aiseee!Sasa Mkuu......
Kama umeahindwa kuileta hiyo ilani hapa (copy), unadhani tutajenga hoja hewa...
Yaani umeahindwa kukopi na kupesti ili na wengine tuisome hiyo ilani unayo isifia, what do you expected to get from here...
This is ridiculous.....
Mkuu, unapo inadi gari ama nyumba, nivyema ukaionyesha wadau waiine ndipo uinadi. Sasa wewe unainadi nyumba ama gari, eti kwakua tu ulibahatika kuiona na sasa unalazimisha watu wote waamini kwamba hicho unacho kinadi ni kizuri sana, ilhali ukiombwa basi ukilete tukione ili tujiridhishe kwamba una nadi kitu kizuri..... Hapo unabadilika na kuanzia kusema eti kwamba wewe umesha kiona ni kizuri na hapa haupo kwaajili ya kukionyesha zaidi ya kukinadi tu. Na kama ambae hakuweza fanikiwa kukiona unacho kinadi, basi wewe haupo tayari kukitoa hadharani ili kionekane. Lakini unalazimisha na kusisitiza eti una nadi nyumba ama gari nzuri.Kwani wewe umeitafuta ukaikosa! Na kama wadau hawajawaho hata kuiona, sasa mbona tangu jana nawaona wanashangaa na kupingwa kweli mama anna alivyoipewa, sasa wanapinga document wasiyoijua! Hapo mimi si ndipo ninapoona maajabu. Lakini maajabu zaidi no pale ninapouliza wanachopinga hasa ni nini, wanasema niwaletee waione sasa dah! Aiseee!
Tunajadili kama ni sawa kutekeleza ilani ya ccm kwa sasa au si sawa na kama ilani ya ccm ni tatizo, na kama ni tatizo, tatizo lake ni nini.
Mjadala huu hauhusu njaa yangu na shibe zako.
Ilani ipi iliyowahi kuwa na tatizo toka huko kwenye Chama Chenu Matatizo??? Ilani zenu zoooootee mnasema ni nzuri sana ila ndio hizo hizo zinatutia umasikini mpaka ujinga haujaisha miaka nenda rudi afu bado mpoo mpooo tuuu. Maji shida ilani IPO, madini tumeibiwa miaka yote mpaka sasa mnagombea makinika na ilani yenu ipo tuu kilimo ndio kabsaaa kinapelekewa 3% tuu na ilani yenu ipo kweli unasema ilani ni nzuri hiyo??? Una una upofu??Kuna watu wanashangaa eti aliyekuwa mwenyekiti wa ACT kupokea ilani ya ccm, sijui wanachoshangaa ni nini.
Wakuu ni hivi, ilani ya ccm ni moja ya ilani bora kabisa zilizopata kutokea kwenye nchi hii.Sijui ni wangapi wameisoma ilani hiyo, ila kama mtu ameisoma kwa makini na sio nyumbu atakubaliana nami kuwa ilani ya ccm haina shida yeyote.
Hata wanaoikosoa ccm hawaikosoi sababu ya ilani, bali mambo ya jiutendaji. Huo ndio ukweli na kama kuna mtu asiyekubaliana na hili, alete hoja zake. Aeleze tatizo la ilani ya ccm ni nini hasa?
Kuna watu hata hiyo ilani hawajawahi kuishika, achilia mbali kuisoma lakini kwanza wanaishangaa kisha wanaipinga. Ovyoooooo!
Rais akiikojolea hapo vipi, kuna tatizo?Kuna watu wanashangaa eti aliyekuwa mwenyekiti wa ACT kupokea ilani ya ccm, sijui wanachoshangaa ni nini.
Wakuu ni hivi, ilani ya ccm ni moja ya ilani bora kabisa zilizopata kutokea kwenye nchi hii.Sijui ni wangapi wameisoma ilani hiyo, ila kama mtu ameisoma kwa makini na sio nyumbu atakubaliana nami kuwa ilani ya ccm haina shida yeyote.
Hata wanaoikosoa ccm hawaikosoi sababu ya ilani, bali mambo ya jiutendaji. Huo ndio ukweli na kama kuna mtu asiyekubaliana na hili, alete hoja zake. Aeleze tatizo la ilani ya ccm ni nini hasa?
Kuna watu hata hiyo ilani hawajawahi kuishika, achilia mbali kuisoma lakini kwanza wanaishangaa kisha wanaipinga. Ovyoooooo!
Sasa Mkuu......
Kama umeahindwa kuileta hiyo ilani hapa (copy), unadhani tutajenga hoja hewa...
Yaani umeahindwa kukopi na kupesti ili na wengine tuisome hiyo ilani unayo isifia, what do you expected to get from here...
This is ridiculous.....
Empty cans make the loudest noise. Watajadili nini kwenye ilani ya CCM wakati hata ilani yao hawajawahi kuiona leave alone kuisoma?Kuna watu wanashangaa eti aliyekuwa mwenyekiti wa ACT kupokea ilani ya ccm, sijui wanachoshangaa ni nini.
Wakuu ni hivi, ilani ya ccm ni moja ya ilani bora kabisa zilizopata kutokea kwenye nchi hii.Sijui ni wangapi wameisoma ilani hiyo, ila kama mtu ameisoma kwa makini na sio nyumbu atakubaliana nami kuwa ilani ya ccm haina shida yeyote.
Hata wanaoikosoa ccm hawaikosoi sababu ya ilani, bali mambo ya jiutendaji. Huo ndio ukweli na kama kuna mtu asiyekubaliana na hili, alete hoja zake. Aeleze tatizo la ilani ya ccm ni nini hasa?
Kuna watu hata hiyo ilani hawajawahi kuishika, achilia mbali kuisoma lakini kwanza wanaishangaa kisha wanaipinga. Ovyoooooo!
Ilani yenu ndo inasema brenda nne ni kiwanda cha kusaga juice???Hapa silengi kufundisha ilani kwa wale wasioijua, kama mtu hakuijua siku zote hizo lakini yuko silent au neutral hilo ni suala jingine, ambao hoja zao zinatakiwa ni wale wanaoshangaa ilani hiyo ikitekelezwa ilihali hawajawahi kuisoma wakajua ndani kuna nini
Kwa hiyo umejiandaa kunyewa kichwani!Na hata hapa badala ya kueleza udhaifu wa ilani ya ccm, jamaa watakuja kunitukana sasa hivi, ona hao wanakuja hao! Ovyoooooo!
Hahahahaaa! Akijibu nistue. Nakula dakhu hapa.Ilani yenu ndo inasema brenda nne ni kiwanda cha kusaga juice???
Wale mliokuwa mnahoji ishu za ilani njooni sasa mtoe hoja zenu, kisu cha ngariba amekuja ila hana hoja, anashangaa tu
hayo ni maoni yako.kiukweli uzuri wa ilani ya ccm hasahasa wanaujua wanaccm wenyewe. mtu kutoka chama kingine kusifia ilani ya chama kingine na kuteuliwa kusimamia utekelezaji wake ni zaidi ya matatizo.Mkuu nakuunga mkono 100%.Ilani ya CCM haina tatizo,it is actually tha best.Tatizo liko kwetu sisi wana CCM.Yaani dah,ni shida.
Unapopinga chama chochote, ni lazima ujue unachopinga ni nini hasa na kwa nini, sio unapinga tu maana unasikia kupinga au unataka watu wakuone umepinga. Kadhalika unapounga mkono. Watu wa jamii yako hata ukiulizwa kwa nini unapinga ccm na unaunga mkono chadema bila shaka utakuwa huna sababu ya maana zaidi ya ushabiki maandazi tu maana ungekuwa unajielewa, usingedhindwa kuelewa hoja nyepesi kama hii.Unahusu njaa yako na jinsi usivyo na msimamo thabiti. Leo utajidai wewe ni Chadema sana kesho humu utakuja kusifia ACT, na kesho kutwa utakuja kudai ilani ya CCM ni bomba.
Ni mchumia tumbo tu ndiye ambaye anaweza kuwa hajitambui kiasi hiki.
Njaa mbaya sana.
Ushabiki maandazi tayari.Ilani yenu ndo inasema brenda nne ni kiwanda cha kusaga juice???
Unapopinga chama chochote, ni lazima ujue unachopinga ni nini hasa na kwa nini, sio unapinga tu maana unasikia kupinga au unataka watu wakuone umepinga. Kadhalika unapounga mkono. Watu wa jamii yako hata ukiulizwa kwa nini unapinga ccm na unaunga mkono chadema bila shaka utakuwa huna sababu ya maana zaidi ya ushabiki maandazi tu maana ungekuwa unajielewa, usingedhindwa kuelewa hoja nyepesi kama hii.
Hoja hapa sijasema mimi ni ccm na wote tuwe ccm, nimesema tunachoikosoa ccm si sababu ya ilani yake bali sababu nyingine, sasa nilitaraji wewe useme hapana, tatizo ni ilani na tatizo hilo liko kwenye kipengele flani. Sasa badala ya kutoa hoja yako umekuja kulalamika njaaa humu.
Unatakiwa uelewe kuwa kuipinga ccm au chama chchote si sifa, ishu inapinga nini na kwa nini, ila ninyi wenzetu mmekuwa watu wa ajabu kweli.
Lengo ni kwamba, ili tusiwe kama mazizu, ni lazima kwanza tusome na kuelewa vitu kabla ya kupinga au kuunga mkono badala ya ushabiki maandazi. Wewe unasema je kwa hili?Na lengo kuu la huu uzi ni kutetea uteuzi wa Anna Mghwira? Au kuna la ziada na zaidi?