Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
Na hata hapa badala ya kueleza udhaifu wa ilani ya ccm, jamaa watakuja kunitukana sasa hivi, ona hao wanakuja hao! Ovyoooooo!
Naomba unisogezee hiyo ilani hapa kwa soft copy ili twende sambamba katika hojaWale mliokuwa mnahoji ishu za ilani njooni sasa mtoe hoja zenu, kisu cha ngariba amekuja ila hana hoja, anashangaa tu
Hawa wanaoshangaa huyu mama kupokea ilani ya ccm ni kuwashangaa pia mkuu, maana hii ya ACT imetoholewa kwenye hii ya CCM kwa hiyo kiutekeleza hii ya ccm haitampa ugumu wowote.Na hata hapa badala ya kueleza udhaifu wa ilani ya ccm, jamaa watakuja kunitukana sasa hivi, ona hao wanakuja hao! Ovyoooooo!
Sasa kwa kuwa jamaa hawana hoja, hapa hawatakuja halafu baada ya muda, wataendelea kuuliza maswali haya haya.Hawa wanaoshangaa huyu mama kupokea ilani ya ccm ni kuwashangaa pia mkuu, maana hii ya ACT imetoholewa kwenye hii ya CCM kwa hiyo kiutekeleza hii ya ccm haitampa ugumu wowote.
Wameona wakae kimya tu maana ACT wanawachezea wakihisi nao ni upinzani kumbe ni wapinzani wa wapinzani.Sasa kwa kuwa jamaa hawana hoja, hapa hawatakuja halafu baada ya muda, wataendelea kuuliza maswali haya haya.
Hapa silengi kufundisha ilani kwa wale wasioijua, kama mtu hakuijua siku zote hizo lakini yuko silent au neutral hilo ni suala jingine, ambao hoja zao zinatakiwa ni wale wanaoshangaa ilani hiyo ikitekelezwa ilihali hawajawahi kuisoma wakajua ndani kuna niniEbu weka hapa hiyo ilani ya ccm tuisome kwanza, kabla ya kuchangia huu Uzi.
Maana usije ukatuuzia mbuzi kwenye gunia....
Basi sawaHapa silengi kufundisha ilani kwa wale wasioijua, kama mtu hakuijua siku zote hizo lakini yuko silent au neutral hilo ni suala jingine, ambao hoja zao zinatakiwa ni wale wanaoshangaa ilani hiyo ikitekelezwa
Wewe ushawahi isoma ilani ya ccm, au hujaisoma lakini unaipinga pamoja na kuwa hauijui?Wameona wakae kimya tu maana ACT wanawachezea wakihisi nao ni upinzani kumbe ni wapinzani wa wapinzani.
Ila hapa ccm wamecheza kama Cr7 aisee, yaani wanaingiza pesa zingine za ruzuku kupitia hili tawi watu wakihisi nacho ni chama kinajitegemea.
Yeah, uko sahihi kabisa mkuu. Ilani ukiisoma imesimama sana tu, shida ni mtu na mtu. Sasa wale wenzangu na mie ukiwaambia ukweli, wanakuambia mbona unaupinga upinzani, sasa wanataka tujazane uongo kichwani?hiyo ndio imani yangu kisiasa.
hayo mailani yote huwa hayana tatizo iwe ilani ya CCM, CHADEMA hata Ilani ya Rungwe...
wahusika wa kuzibeba hizo ilani ndio wengi wanasumbua...
Basi sawa
Ngoja waje ambao hawahitaji kuijua/ kuisoma/ kuelewa wala kupata walau pdf copy ya hiyo ilani ya ccm.
Kuna watu wanashangaa eti aliyekuwa mwenyekiti wa ACT kupokea ilani ya ccm, sijui wanachoshangaa ni nini.
Wakuu ni hivi, ilani ya ccm ni moja ya ilani bora kabisa zilizopata kutokea kwenye nchi hii.Sijui ni wangapi wameisoma ilani hiyo, ila kama mtu ameisoma kwa makini na sio nyumbu atakubaliana nami kuwa ilani ya ccm haina shida yeyote.
Hata wanaoikosoa ccm hawaikosoi sababu ya ilani, bali mambo ya jiutendaji. Huo ndio ukweli na kama kuna mtu asiyekubaliana na hili, alete hoja zake. Aeleze tatizo la ilani ya ccm ni nini hasa?
Kuna watu hata hiyo ilani hawajawahi kuishika, achilia mbali kuisoma lakini kwanza wanaishangaa kisha wanaipinga. Ovyoooooo!
upinzani mkumbo na kupelekeshwa unaharibu taifa.Yeah, uko sahihi kabisa mkuu. Ilani ukiisoma imesimama sana tu, shida ni mtu na mtu. Sasa wale wenzangu na mie ukiwaambia ukweli, wanakuambia mbona unaupinga upinzani, sasa wanataka tujazane uongo kichwani?
Sasa Mkuu......Yeah, uko sahihi kabisa mkuu. Ilani ukiisoma imesimama sana tu, shida ni mtu na mtu. Sasa wale wenzangu na mie ukiwaambia ukweli, wanakuambia mbona unaupinga upinzani, sasa wanataka tujazane uongo kichwani?
Tunajadili kama ni sawa kutekeleza ilani ya ccm kwa sasa au si sawa na kama ilani ya ccm ni tatizo, na kama ni tatizo, tatizo lake ni nini.Wachumia tumbo ndivyo walivyo! Siku zote hawajitambui hata chembe huruka huku na kule kutafuta wapi watapata shibe kubwa.
Ukiwa muongo uombe Mungu akupe na kumbukumbu nzuri.
Nimeamua kujiunga na wapigania ukombozi wa CHADEMA baada ya kutafakari kwa kina!