Safi sana kuna watu wakaidi sana linapokuja suala la kuzima simu zao na hata Imam awakumbushe kabla ya sala zimeni simu zenu, cha ajabu mko katikati ya sala simu inaita.
Cha ajabu hao hao wanaokuwa wakaidi kuzima simu zao wanapokuwa mahakamani/benki au mahala pengine wanatii sana kuzima simu zao
Tunashindwa kujiongoza wenyewe bila kumuona askari na mtutu. Mbaya sana.