Itakuwa unadeka wewe!Nikasema wacha leo nijaribu kuwa mzungu nimwambie mama angu nampenda,. Kilichonipata View attachment 3223579View attachment 3223580 Hawajai kuwa romanticπππ
sindano badoThread tayari
YAani hapo kwanza kanisema niache kutumia emoji za kucheka nikiwa naongea naeππ
Kupendwa raha bnNakupendaβΊοΈ
Unajiuliza ni kwamba hawapendi kupendwa,. Au wanaona ni utotoπBora wewe ,mama yangu ungekua unamwambia una mpenda kabla ya kukulamba mwiko wa shigo angekutazama hivi kwanza.
View attachment 3223588
We wa 2000's mama yako atakuwa wa zamani?ππππHaya maswali kwa mama zetu wa zamani, ungekua unayauliza kwa karibu ungekula upawa wa shingo fasta.
Ona hii kiaziWe wa 2000's mama yako atakuwa wa zamani?ππππ
but it's not fair mnamuita mzee komando kipensi...π€£Alivyo serious sasa,. Unadhani kuna kudekaπππ
Majibu yake yenyewe ndio hivyo ya kijeshi kijeshi