Ila watu wana roho ngumu sana

Kuna mmoja juzi alikuja analia eti mchepuko unemtumia picha zake za uchi na video ukisema utamkomoa baada ya kuupigia mchepuko na kuutukana akisema umuachie mme wake na mitusi kibao,kumbe kisa ni kwamba yeye na mme wake huwa wanatabia ya kurushiana picha hizo na video wakifanya matusi sasa wakati mme akiwa kwa mchepuko,mchepuko ukachukua picha na kujitumia ko sa hivi unawarusha roho wanahaha,
Sasa yote ya nini hayo
 
Utoto tu,una experience a lot of things,na unataka ku experiment a lot of things,ombea usipate juha in the process.....wote wanaopiga picha kama ukichunguza then utagundua hawako above 24-25,ndio ujue age ni factor...wacha wafanye wanayotaka kufanya,they will learn but in hard way..LOL
 
Tena nyie wakubwa ndo mnaongoza
kuna waziri mmoja wa zambia mpaka alijiua alimuahid mschana iPhone 11 mschana alivopewa akataka kiwanja na gari Mr minister akagoma akijua mschana anatania kesho anajikuta mtandaoni akajiua dah ile video alimrekodi akiwa anapulika
 
Alafu ujinga zaidi ni kwamba huyo mtu unaemtumia hizo picha za utupu ni mtu wako na kila siku mnaonana utupu wenu sasa kama kila siku mnaonana utupu wenu na kila mmoja anajua wa mwenzie mnatumiana nudes za nini!! Naamini huu ni utoto wa hali ya Juu
Utupu wa kwenye simu una raha yake wewe.
 
Back
Top Bottom