Ila watu wana roho ngumu sana

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,645
Hivi unapata wapi nguvu za kujirekodi utupu na kumtumia mtu(mpenz wako)? Serious? Kabisa unakaa unachukua video au unajipiga picha?

Aisee me mwanamke akinitumia picha au akiniuliza kama napenda awe ananitumia inakuwa ndo mwisho wa mahusiano(namuona mtoto mjinga hajakua na hajielewi)

Ujue wengi wanalichukulia easy ila hebu fikiria umemtumia kasave then akiwa kweye mishe zake rafiki au ndugu kamuomba simu yake aidha apige au afanye kitu chochote kile.

Watu wengi siku hizi wapumbavu sekunde kashafika kwenye galley ameona fasta anawasha Airdrop anajitumia fasta bila wewe kujua

Kesho unazikuta mitandaon. Unamlaumu nani wakati ni ujinga wako?
 
Alafu ujinga zaidi ni kwamba huyo mtu unaemtumia hizo picha za utupu ni mtu wako na kila siku mnaonana utupu wenu sasa kama kila siku mnaonana utupu wenu na kila mmoja anajua wa mwenzie mnatumiana nudes za nini!! Naamini huu ni utoto wa hali ya Juu
 
Hilo ndo linashangaza zaid mtu unamjua nje ndani halaf bado unamtumia? Sasa kama anataka kukuwaza si afumbe macho aikumbeke maana anaijua
 
Binadamu wanatofautiana sana kwenye mambo mbali mbali. Kulala nayo kuiona kila siku lakini bado kuna wengi tu wanapenda kuiona kwenye picha na wala si utoto wala ujinga. Wenyewe kama ni mke na mume au BF na GF wanafurahia tabia hiyo basi msiwaingilie kwenye maamuzi yao. Ya NGOSWE!!!!!.........

Nmefurah kukuona umerud kuwa na furaha
 
Binadamu wanatofautiana sana kwenye mambo mbali mbali. Kulala nayo kuiona kila siku lakini bado kuna wengi tu wanapenda kuiona kwenye picha na wala si utoto wala ujinga. Wenyewe kama ni mke na mume au BF na GF wanafurahia tabia hiyo basi msiwaingilie kwenye maamuzi yao. Ya NGOSWE!!!!!.........
Pinga pinga itakuwa wana Tisha Huko chini labda kiasi wakizipiga picha zinawaogopesha
 
sikia ww kama hupendi hizo picha usituharibie sisi tunapenda acha watutumie tuangalie

Screenshot_20210412-221348.png
 
🤣🤣🤣🤣🤣unajua watu wana namna mbali mbali ya kuspicy up the love relationship na kwa wengine inaweza kuonekana ni kituko cha karne lakini kwa wahusika inawaongezea ukaribu wao na kuimarisha penzi lao hata kama ni mke na mume.
Pinga pinga itakuwa wana Tisha Huko chini labda kiasi wakizipiga picha zinawaogopesha
 
Wakina dada msimsikilize mtoa mada hajui raha ya mapenzi nyie endeleeni kututumia hzo picha

Na sisi tutaendelea kuwapenda zaid
 
🤣🤣🤣🤣🤣unajua watu wana namna mbali mbali ya kuspicy up the love relationship na kwa wengine inaweza kuonekana ni kituko cha karne lakini kwa wahusika inawaongezea ukaribu wao na kuimarisha penzi lao hata kama ni mke na mume.
Mtoa mada apunguze shobo na maisha ya watu, kwake kero kwetu starehe asitupe bughudha
 
Back
Top Bottom