Ila wanaume wanasiri nzito

Ila wanaume wanasiri nzito

Jaribu hogo langu la jang'ombe uone linavyo chana marinda ya mbele na nyuma..
 
Mambo hayo kule kwetu rombo Hakuna bana..... Hilo punga.
Usitutanie ndugu, nyie wa Rombo si ndo hamuwezi piga mashine mpka wake zenu wanaenda kugongwa kenya huko na wengine wakalalamika kwenye maredio tukaskia au sio nyio.😀
 
We nae wale wale tu....mwanaume lijali utakubalije kutekenywa jidah eti useme ni raha!!!au wenzako wanakubanjua?
hata mm nimemshangaa na coment yake, atakuwa wale wale tu sio ridhiki
 
Hua nachefukwa sana nikiona mwanaume anafanya mambo ya ajabu ya dizain hii,
anyway kama ni mpenzi wa movie za hollywood, kuna movie inaitwa fifty shades of grey na part 2 yake, type za huyo mwanaume kwenye hio movie ndo akina hao kama huyo x wako, sometimes ni malezi waliyopitia tokea udogoni imewa affect kisaikolojia, au labda mtu anajitoa ufahamu anaamua tu awe hivyo lakini mara nyingi angalia background yake udogoni ..kuna kitu lazima kilifanyika ambacho kiliathiri mpango mzima wa maisha yake ...pia angalia movie ya moonlight ya mwaka huu.
unachefukwa sana, lakini hadi movies unazijua zinazoshabihiana na X wa Lis. vituko uswazi
 
Back
Top Bottom