Hua nachefukwa sana nikiona mwanaume anafanya mambo ya ajabu ya dizain hii,
anyway kama ni mpenzi wa movie za hollywood, kuna movie inaitwa fifty shades of grey na part 2 yake, type za huyo mwanaume kwenye hio movie ndo akina hao kama huyo x wako, sometimes ni malezi waliyopitia tokea udogoni imewa affect kisaikolojia, au labda mtu anajitoa ufahamu anaamua tu awe hivyo lakini mara nyingi angalia background yake udogoni ..kuna kitu lazima kilifanyika ambacho kiliathiri mpango mzima wa maisha yake ...pia angalia movie ya moonlight ya mwaka huu.