Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,439
- 6,692
Wakuu,
Nikisema hawa watu sio wa kuwaamini na hata Tanzanian tunapaswa ku-rethink mahusiano yetu na wao huwa mnaona kama siwakubali hawa jamaa
Haya sasa Nigeria limeshawakuta jambo
==============
Mkandarasi kutokea China, China Great Wall Industry Corporation, ametoa siku 30 kwa serikali ya Nigeria kulipa deni la dola milioni 11.44 za huduma za uendeshaji wa satelaiti la sivyo watafunga huduma za mawasiliano zinazotegemea satelaiti nchini humo
Kampuni hiyo imesema deni hilo linahusiana na huduma za Telemetry, Tracking na Command kwa satelaiti ya mawasiliano NigComSat-1R, ambazo zimekuwa zikitolewa kutoka kituo cha udhibiti cha Kashi nchini China.
Iwapo malipo hayatafanyika ndani ya muda huo, kampuni hiyo imeonya kuwa inaweza kuzima baadhi ya huduma za satelaiti hiyo, hatua ambayo inaweza kuathiri matangazo ya televisheni, huduma za intaneti na mawasiliano ya kiusalama nchini humo.
Maafisa wa Nigeria Communications Satellite Limited wamesema wanapitia taarifa hiyo na watatoa majibu rasmi, huku satelaiti hiyo iliyozinduliwa mwaka 2011 ikitarajiwa kufikia mwisho wa maisha yake ya kazi ifikapo mwaka 2026.
=======================
Nigeria’s satellite communications network faces possible disruption after a Chinese contractor issued a 30-day ultimatum over unpaid operational fees.
China Great Wall Industry Corporation says Nigeria owes about $11.44 million for long-running satellite control services.
The dispute threatens the operations of NigComSat-1R, which supports broadcasting, internet connectivity, and security communications.
Officials at Nigeria Communications Satellite Limited say they are reviewing the warning as concerns grow about Nigeria’s ageing space infrastructure.
In a letter sent to the managing director of Nigeria Communications Satellite Limited and copied to Nigerian President Bola Ahmed Tinubu, the Chinese state-owned aerospace firm China Great Wall Industry Corporation issued a 30-day ultimatum to settle outstanding payments for operational support of Nigeria’s communications satellite, NigComSat-1R.
According to the letter, the debt reached $11,442,335.89 as of 31 December 2025. The company said the amount relates to unpaid Telemetry, Tracking, and Command services provided from its ground control facility in Kashi.
Source: Africa Business Insider