Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 148
- 259
Habari zenu jf-members!
Duuh!, Hivi lile wazo la utotoni la kuoa/kuolewa na mzungu liliishia wapi?
Duuh!, Hivi lile wazo la utotoni la kuoa/kuolewa na mzungu liliishia wapi?
daaa ! Sijui liliishia wapi enzi za utoto nilitamani nifunge ndoa na Mhindi.Wahindi walinivutia kwasababu nilipenda sana kuangalia sinema zao.Habari zenu jf-members!
Duuh!, Hivi lile wazo la utotoni la kuoa/kuolewa na mzungu liliishia wapi?
mbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungu na waarabu bro.Mimi nina asili ya kihindi ndiyo maana bibie aliekatakamba humutuu alining'ng'ania hadi nikamwoa.
nilitaka kuoa sio kuolewa bro na nimeulza kwenu kujua kama tulikuwa wengi wenye wazo hiloSasa wazo la kuolewa na wazungu ulikua nalo wewe halafu unatuuliza sisi liliishia wapi?
Chaimbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungua na waarabu bro.
Likaishia wapi sasa?nilitaka kuoa sio kuolewa bro na nimeulza kwenu kujua kama tulikuwa wengi wenye wazo hilo
Si wabongo wote mkuu bali baadhi ya mabinti kama huyu niliyemwoa.mbongo lazima ang'ang'anie wahindi, wazungua na waarabu bro.
kuwa ndoto tuuh.Likaishia wapi sasa?
pambana kaka nakuombea.Mimi kwakweli halijaisha. Mzungu yoyote akijichanganya ninae.
Intelligent businessman ona huyupambana kaka nakuombea.
kafanya nini tena
Si wabongo wote mkuu bali baadhi ya mabinti kama huyu niliyemwoa.
Yaani Kuna huyu mume wangu amekunywa sumu kwaajili yangu mimi malaya[/B]
[/QUOTE]
sijafa lakini?
bora yakoKiukweli Mimi binafsi sijawahi kuwa na hayo mawazo ya kuona na mzungu
Hajajua we pisi kalee
MhmmmMimi kwakweli halijaisha. Mzungu yoyote akijichanganya ninae.
Pisi halafu ananiita kaka kweli. Nimekukabidhi umpe adhabu.Hajajua we pisi kalee