Hakukuwa na haja ya kuwa na Robot Eunice. Ila kuna haja ya kuwa na AI ya bunge , komputa yenye Mic na speaker , iwekwe mfumo wa AI na iwekwe sehem ambayo kila mtu anaweza kuifikia na Kuuliza maswali kwa Kiswahili au kingereza kwa maandishi au kwa sauti juu ya ratiba, miongozo, sheria na katiba ya nchi, badget, kumbukumbu za Bunge na serikali. Nk.
Sasa Roboti ambalo unalisalimia kwa kulishika mkono na kuitikia lina faida gani?...
Wakati Halina information yoyote.
Bora wangetengenea Robot ambalo halimove ila lina screen tu usoni na ambalo lina info zote za nn kimeendelea, kinaendelea na kitaendelea bungeni(ie nilizotaja hapo juu).