that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 386
- 1,247
Du! Umekula msosi au bado
Uko serious mazee unalala njaa?bado na nishalala njaa ya siku moja haiui
Uko serious mazee unalala njaa?
Atakuwa anatania bhana....Ina maana Hana rafiki ampe hata aftatu?Uko serious mazee unalala njaa?
🤣🤣We nae,si ungekoroga kombe la maziwa unyweeeChangamoto ni nyingi kwenye maisha.
Unashangaa kulala njaa mkuu?
Ulishawahi kulamba maziwa ya unga siku nzima. Maisha haya acha tu sitaki kuongea mengi
Nilikoroga lakini kila baada ya nusu saa njaa inarudi pale pale. Acha tu🤣🤣We nae,si ungekoroga kombe la maziwa unyweee
Misiba mingi January hii, atembee tembee anaweza otea msiba akala hapo,sio kujifungia ndaniAtakuwa anatania bhana....Ina maana Hana rafiki ampe hata aftatu?
In life,unatakiwa kuwa na rafiki Mmoja anayeweza kubeba shida zako,,huyo rafiki anaweza kuwa mmeshare blood labda sister au cousin lakini pia inawezekana akawa rafiki tu wa kawaida...Huenda yupo kama mimi😅
Sio kila rafiki ana moyo wa kusaidia Joannah. Na sio kila mtu anaweza kumwambia mtu shida zake wengine watakudhihaki.
Kuna mda unaingia kwenye contacts una scroll kuanzia A mpaka Z una contacts karibia 200+ ila kila jina unaloliangalia huoni wakumuomba hiyo aftatu.Atakuwa anatania bhana....Ina maana Hana rafiki ampe hata aftatu?
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa Kwa Nini hulali?au usingizi na njaa havichangamani?Nilikoroga lakini kila baada ya nusu saa njaa inarudi pale pale. Acha tu