Makuzamkumbo
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 501
- 523
- Thread starter
-
- #21
Hivi ni Mimi nashindwa kuona hizi photos au Kuna tatizo
Hapana mkuu napiga Kilimanjaro bariiiiidiUnapiga bapa hapo ulipo?
Hakuna anayenijua huku mkuu relaxUshaanza kulewa. Unaanza kutoa siri za watu.
Nenda nyumbani Mtaalam. Mnaomfahamu huyu Mkuu kamtoeni alipo, siri zenu matatani.
Bad boys au sio!!..design ya kina Thabo Bester😤☺walokole, wadada wapole, wamama wakubwa wanalika balaaa alafu wanapenda watu wahuni wahuni
Dah! Maisha haya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka fulan 2004 hivi, tuko kijijin likizo.
Siku Moja naenda kumpelekea Mchungajiwa Ng'ombe Chakula.
Nakatiza kakichoro kaporin ,nikawa nasikia mwanamke analiaa analiaa , nikasimama nikasikilizia Kwa Makini mpaka nikapata location inapotokea sauti.
Nikanyataa nikanyataa nikawashihudia, ni Mke wa Jirani fulan analiwa na Jamaa Mmoja wa mtaani pia.
Nikapiga kelele .."huyoooo Mke wa mtu naenda kumwambia mumee wako "
Wajamaa walikurupuka balaa, Kila Mmoja alipita njia yake!!
Nikaenda pale walipokua wanafanyia Ngono, nikakuta mwanamke kasahau chupi .
Daaahh kama sekunde Kadhaa, lijamaa likarudi na panga linanifukuzia, eeeegh nilitoka ndukii kurudi nyumban, na Msosi sikumbuki ilikuaje, nilifika nyumban na Visonzo tuu ,hamna ugali Wala mboga [emoji1787]
Watoto wa kishua kisonzo ni kama hotpot ila ni zakijadi zaidi.
Mtaalam tatizo kubwa mm nikishaanza kunywa hua nakumbukaga maujinga yote niliyowahi kushuhudia/kufanya nabaki kucheka tuHii stori ni kweli ama ni hizo pombe unazokunywa...ila walevi hawaongei uongo[emoji81]
Kwa kweli dada wa pesa vikishaanza/vikishakolea hua nakumbukaga maujinga yote niliyowahi kushuhudia/kufanya sijui Kwa Nini yanVyombo vimeanza kukolea we we sio bure
Kwa kweli tuzisake sana mtaalamBwana wee sikuhiyo nimekaa kikao cha familia na masista zangu kila nachochangia naonekana nachangia pumba nikamwambia mzee mm kila nalotaka kusema kama mnaninyamazisha kusema kwamba mi ndo naongea pumba kuliko wote au vipi sijaelewa, aisee nilistukia kelbu moja matata imetua kwenye shavu "kuwa makini unapoongea na ujue unaongea na nani" baba akanitolea namba, nikanyanyuka na wenge langu nikamwambia mzee najua mnanizarau kwakuwa mimi sina kitu najua dada zangu kikao kikiisha watakutoa hata miyekundu kadhaa ila mimi unajua kabisa sina ndo maana unanizarau ila siku moja na mimi nitaheshimika tu, nikatoka nikasepa. Mpaka leo sina mahusiano mazuri na mzee hata sasa anapotaka ukaribu na mm naona tu kama ananisogelea sababu maisha yangu yamebadilika kiasi, nikifikiria ile siku hata kama nilichoka vp napata nguvu zaidi ya kutafuta pesa
Wacha bwana[emoji44][emoji44]walokole, wadada wapole, wamama wakubwa wanalika balaaa alafu wanapenda watu wahuni wahuni
Chai...chai ...chaiMiaka fulan 2004 hivi, tuko kijijin likizo.