Nachukia upuuzi,lakini upumbavu ndo siutaki kabisa
Kwani bado yupo???shule zitafunguliwa lini jamani? Wakusoma katuchosha humu!
Ni imani ila kuna ukweli fulani aisee we jaribu kuchunguza utaona hata km si sana ila inelekeaMi nahisi hizo ni iman 2
kama huu uliouandka!signature yako tu inajieleza!Nachukia upuuzi,lakini upumbavu ndo siutaki kabisa
Hayo majina mengine ss ndo tushawaita wanetu sasa, inakuaje?